Alikuwa mkuu wa wilaya ya Busega toka 2021. Safari ya u-dc ilifika tamati tarehe 25 Januari 2023 pale Samia alipofanya mabadiliko madogo ya wakuu wa wilaya.
Wakuu wengine maarufu waliotemwa katika kipindi hicho ukiachana na Gabriel Zakaria, ni aliyewahi kuwa msemaji wa Deportivo Utopolo.