Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,568 Reaction score 12,206 Feb 24, 2023 #21 Mh. anaendeleaje matibabu?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Feb 24, 2023 #22 Bongo ugonjwa ni siri kubwa
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,968 Reaction score 75,041 Feb 24, 2023 #23 Mamndenyi said: Bongo ugonjwa ni siri kubwa Click to expand... Mfichaficha mardhi.............. Kiswaswadu alituambia mshikaji yupo anachapa kazi kumbe ngoma iko kwenye friji.
Mamndenyi said: Bongo ugonjwa ni siri kubwa Click to expand... Mfichaficha mardhi.............. Kiswaswadu alituambia mshikaji yupo anachapa kazi kumbe ngoma iko kwenye friji.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Feb 24, 2023 #24 SAGAI GALGANO said: Mfichaficha mardhi.............. Kiswaswadu alituambia mshikaji yupo anachapa kazi kumbe ngoma iko kwenye friji. Click to expand... Nchi za wenzetu wanasema mgonjwa yupo ICU au yupo stage za mwisho. Misiba nayo wafiche.
SAGAI GALGANO said: Mfichaficha mardhi.............. Kiswaswadu alituambia mshikaji yupo anachapa kazi kumbe ngoma iko kwenye friji. Click to expand... Nchi za wenzetu wanasema mgonjwa yupo ICU au yupo stage za mwisho. Misiba nayo wafiche.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,341 Reaction score 88,513 Feb 24, 2023 #25 Mamndenyi said: Bongo ugonjwa ni siri kubwa Click to expand... Wanaficha coz kuna watu wakishajua unaumwa ndiyo wanazidisha kupiga manyanga na zongo.
Mamndenyi said: Bongo ugonjwa ni siri kubwa Click to expand... Wanaficha coz kuna watu wakishajua unaumwa ndiyo wanazidisha kupiga manyanga na zongo.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Feb 24, 2023 #26 King Kong III said: Wanaficha coz kuna watu wakishajua unaumwa ndiyo wanazidisha kupiga manyanga na zongo. Click to expand... Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini?
King Kong III said: Wanaficha coz kuna watu wakishajua unaumwa ndiyo wanazidisha kupiga manyanga na zongo. Click to expand... Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini?
Panzi Mbishi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2021 Posts 2,344 Reaction score 3,020 Feb 24, 2023 #27 Mamndenyi said: Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini? Click to expand... Mchawi hana sababu
Mamndenyi said: Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini? Click to expand... Mchawi hana sababu
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,341 Reaction score 88,513 Feb 24, 2023 #28 Mamndenyi said: Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini? Click to expand... Kwenye watu 10 binadamu m1 ,basi tu si unajua wachawi hata jose mtambo alishawahi kusema "hata ukiniwangia mimi nimelala si mwenyewe ndiyo unakesha?".
Mamndenyi said: Hamna kitu hicho, hivi utaniroga na uzee huu upate nini? Click to expand... Kwenye watu 10 binadamu m1 ,basi tu si unajua wachawi hata jose mtambo alishawahi kusema "hata ukiniwangia mimi nimelala si mwenyewe ndiyo unakesha?".
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,394 Reaction score 13,802 Feb 24, 2023 #29 Mchochezi said: Tunamuombea apone kwa haraka Click to expand... Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi!
Mchochezi said: Tunamuombea apone kwa haraka Click to expand... Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi!
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,739 Feb 26, 2023 #30 Gagnija said: Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi! Click to expand... Nenda kaliwe na wachawi
Gagnija said: Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi! Click to expand... Nenda kaliwe na wachawi
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,394 Reaction score 13,802 Feb 26, 2023 #31 Mchochezi said: Nenda kaliwe na wachawi Click to expand... Wachawi ndio hao kina lowasa.
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,460 Reaction score 4,166 Feb 26, 2023 #32 Gagnija said: Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi! Click to expand... Kuna watu huwa mna roho mbaya zaidi ya shetani.
Gagnija said: Apambane tu na hali yake; kupona kwake haraka kunatusaidia nini sisi! Click to expand... Kuna watu huwa mna roho mbaya zaidi ya shetani.
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,518 Reaction score 14,178 Feb 26, 2023 Thread starter #33 kyanyangwe said: Kuna watu huwa mna roho mbaya zaidi ya shetani Click to expand... Inasikitisha sana
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,394 Reaction score 13,802 Feb 26, 2023 #34 kyanyangwe said: Kuna watu huwa mna roho mbaya zaidi ya shetani. Click to expand... Tuliapa kumchukia shetani na mawakala wake.
kyanyangwe said: Kuna watu huwa mna roho mbaya zaidi ya shetani. Click to expand... Tuliapa kumchukia shetani na mawakala wake.