Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,517 Reaction score 14,175 Jan 1, 2023 #1 Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana sikumbuk mara ya mwisho alionekana lini hadharani.
Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana sikumbuk mara ya mwisho alionekana lini hadharani.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Jan 1, 2023 #2
Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,807 Reaction score 17,358 Jan 1, 2023 #3 Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,044 Reaction score 12,527 Jan 1, 2023 #4 Yupo S.A anapata matibabu.
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,702 Reaction score 35,756 Jan 1, 2023 #5 keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Mmoja alifariki
keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Mmoja alifariki
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,709 Reaction score 25,501 Jan 1, 2023 #6 keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Wapo wanadunda tu
keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Wapo wanadunda tu
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,037 Jan 1, 2023 #7 Kitendo cha loasa kutoonekana kwenye hiyo picha kinatia mashaka sana
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,709 Reaction score 25,501 Jan 1, 2023 #8 Chibolo said: Kitendo cha loasa kutoonekana kwenye hiyo picha kinatia mashaka sana Click to expand... loasa ndio nani mkuu?
Chibolo said: Kitendo cha loasa kutoonekana kwenye hiyo picha kinatia mashaka sana Click to expand... loasa ndio nani mkuu?
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,517 Reaction score 14,175 Jan 1, 2023 Thread starter #9 Chibolo said: Kitendo cha loasa kutoonekana kwenye hiyo picha kinatia mashaka sana Click to expand... Hii ina maana hali ya Mzee NI mbaya mbaya Sana au la ni interest za familia Tu kutotaka mgonjwa apigwe picha
Chibolo said: Kitendo cha loasa kutoonekana kwenye hiyo picha kinatia mashaka sana Click to expand... Hii ina maana hali ya Mzee NI mbaya mbaya Sana au la ni interest za familia Tu kutotaka mgonjwa apigwe picha
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,968 Reaction score 75,041 Jan 1, 2023 #10 Amechukuliwa msukule
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jan 1, 2023 #11 Hospital S.A
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,202 Reaction score 1,957 Jan 1, 2023 #12 Aliwahi kusema kuwa hawezi kufa bila kuwa mwenyekiti wa kampuni.
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,266 Jan 1, 2023 #13 Greatest Of All Time said: View attachment 2465214 Click to expand... Majaliwa naye siku hizi anavaa barakoa. Wanasema wameimarisha huduma za afya lakini wakiugua wanakimbilia nje
Greatest Of All Time said: View attachment 2465214 Click to expand... Majaliwa naye siku hizi anavaa barakoa. Wanasema wameimarisha huduma za afya lakini wakiugua wanakimbilia nje
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Jan 1, 2023 #14 Hii nchi inafichwa sana wagonjwa. Wafiche na misiba tujue moja
mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,106 Reaction score 3,158 Jan 1, 2023 #15 Mzee hatari sana huyu,ukimchafua tu mwenyewe utamsafisha.Tena hata barabara ya vumbi utaideki ili apite.
Mzee hatari sana huyu,ukimchafua tu mwenyewe utamsafisha.Tena hata barabara ya vumbi utaideki ili apite.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,195 Jan 1, 2023 #16 Maja anakuaga muongo muongo kwenye kutoa taarifa za mgonjwa....
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,856 Reaction score 44,186 Jan 1, 2023 #17 Evelyn Salt said: Maja anakuaga muongo muongo kwenye kutoa taarifa za mgonjwa.... Click to expand... 🤣🤣🤣
Evelyn Salt said: Maja anakuaga muongo muongo kwenye kutoa taarifa za mgonjwa.... Click to expand... 🤣🤣🤣
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Jan 4, 2023 #18 keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Wale waliosema IKULU si mahala pa kuhifadhi wagonjwa wapo wapi siku hizi..!? Nimekumbuka PUSHUPS
keisangora said: Wale wachungaji walioteshwaa kuwa amekuwa raisi ivi wako wapi sahii Click to expand... Wale waliosema IKULU si mahala pa kuhifadhi wagonjwa wapo wapi siku hizi..!? Nimekumbuka PUSHUPS
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,739 Jan 12, 2023 #19 Tunamuombea apone kwa haraka
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,069 Reaction score 184,789 Jan 12, 2023 #20 Natumae mleta mada ulipata muongozo...