gspain JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,942 Reaction score 6,133 Jul 21, 2024 #41 Evelyn Salt said: Nikamfata pm kumwambia nampenda pia, akanichana anampenda zaidi Malia Obama nililia sana siku hiyo sikula. Click to expand... Mkuu, unafaa sana kuwa comedian.
Evelyn Salt said: Nikamfata pm kumwambia nampenda pia, akanichana anampenda zaidi Malia Obama nililia sana siku hiyo sikula. Click to expand... Mkuu, unafaa sana kuwa comedian.
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,410 Reaction score 722 Jul 21, 2024 #42 Orketeemi said: Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari. Click to expand... Bado yupo jela Kahama, alitaka muua mama yake mzazi.
Orketeemi said: Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari. Click to expand... Bado yupo jela Kahama, alitaka muua mama yake mzazi.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,992 Reaction score 146,309 Jul 21, 2024 #43 Kashamchukua binti wa Obama?
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,988 Jul 21, 2024 #44 Evelyn Salt said: Nikamfata pm kumwambia nampenda pia, akanichana anampenda zaidi Malia Obama nililia sana siku hiyo sikula. Click to expand... Bora hamkupeana "nunu" mganga wangu hakuniangusha
Evelyn Salt said: Nikamfata pm kumwambia nampenda pia, akanichana anampenda zaidi Malia Obama nililia sana siku hiyo sikula. Click to expand... Bora hamkupeana "nunu" mganga wangu hakuniangusha
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,183 Reaction score 25,426 Jul 21, 2024 #45 Deo kisandu and bill lugano walikuwa zaiti ya comedian.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,973 Jul 21, 2024 #46 Yuko milembe tangu 2022
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,507 Reaction score 5,959 Jul 21, 2024 #47 Kuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam.
Kuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam.
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,524 Reaction score 14,199 Jul 21, 2024 Thread starter #48 Kesi Kama hii inaonesha jinsi system ilivyokuwa against deogratias Kisandu
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 828 Reaction score 2,229 Jul 21, 2024 #49 GIRITA said: Kuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam. Click to expand... Alishafukuzwa kitambo sana nafikiri ni kile kipindi cha Magufuli
GIRITA said: Kuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam. Click to expand... Alishafukuzwa kitambo sana nafikiri ni kile kipindi cha Magufuli
Karijo Senior Member Joined Jul 9, 2024 Posts 108 Reaction score 353 Jul 21, 2024 #50 Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Ilo jamvi la wageni lipo muda mrefu man
Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Ilo jamvi la wageni lipo muda mrefu man
Karijo Senior Member Joined Jul 9, 2024 Posts 108 Reaction score 353 Jul 21, 2024 #51 Kapeace said: Yani unakuta mtu anakujua kukuzidi unavyojujijua Click to expand... Wakukome nakujua MIMI pekee K wangu
Kapeace said: Yani unakuta mtu anakujua kukuzidi unavyojujijua Click to expand... Wakukome nakujua MIMI pekee K wangu
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,507 Reaction score 5,959 Jul 21, 2024 #52 Pekejeng said: Alishafukuzwa kitambo sana nafikiri ni kile kipindi cha Magufuli Click to expand... Yupo wapi superstar wa JF?
Pekejeng said: Alishafukuzwa kitambo sana nafikiri ni kile kipindi cha Magufuli Click to expand... Yupo wapi superstar wa JF?
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 828 Reaction score 2,229 Jul 21, 2024 #53 GIRITA said: Yupo wapi superstar wa JF? Click to expand... Hata Mimi natamani kufahamu alipo The Don
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,385 Jul 21, 2024 #54 Basi Nenda said: Bora hamkupeana "nunu" mganga wangu hakuniangusha Click to expand... Daaaah kumbe wakata umeme mlikua active 😹
Basi Nenda said: Bora hamkupeana "nunu" mganga wangu hakuniangusha Click to expand... Daaaah kumbe wakata umeme mlikua active 😹
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,385 Jul 21, 2024 #55 Nifah said: Nimecheka sana, kumbe mlizama hadi penzini? Click to expand... Nilikua napendana na Deo mara akapiga uturn anampenda Malia aaghhh penzi likayeyuka.
Nifah said: Nimecheka sana, kumbe mlizama hadi penzini? Click to expand... Nilikua napendana na Deo mara akapiga uturn anampenda Malia aaghhh penzi likayeyuka.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,507 Reaction score 5,959 Jul 21, 2024 #56 Pekejeng said: Hata Mimi natamani kufahamu alipo The Don Click to expand... Jamaa alikuwa kama anashida kichwani,Huo ualimu aliupataje ? Au Network ilipotea baada ya kuajiriwa?
Pekejeng said: Hata Mimi natamani kufahamu alipo The Don Click to expand... Jamaa alikuwa kama anashida kichwani,Huo ualimu aliupataje ? Au Network ilipotea baada ya kuajiriwa?
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,298 Reaction score 46,757 Jul 21, 2024 #57 dikir kab can said: nalimison atakuwa tour ya album yake. Click to expand... Tour bara yuropa au?
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 828 Reaction score 2,229 Jul 21, 2024 #58 GIRITA said: Jamaa alikuwa kama anashida kichwani,Huo ualimu aliupataje ? Au Network ilipotea baada ya kuajiriwa? Click to expand... Kabla ya hapo Jamaa alikuwa timamu kabisa ila alivyoanza kujiingiza kwenye siasa tu mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo sijui ni nini kilimkumba
GIRITA said: Jamaa alikuwa kama anashida kichwani,Huo ualimu aliupataje ? Au Network ilipotea baada ya kuajiriwa? Click to expand... Kabla ya hapo Jamaa alikuwa timamu kabisa ila alivyoanza kujiingiza kwenye siasa tu mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo sijui ni nini kilimkumba
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,988 Jul 21, 2024 #59 Evelyn Salt said: Daaaah kumbe wakata umeme mlikua active 😹 Click to expand... Tupo sana😂 ila fuatilia kama jamaa kafariki kweli ukatoe pole
Evelyn Salt said: Daaaah kumbe wakata umeme mlikua active 😹 Click to expand... Tupo sana😂 ila fuatilia kama jamaa kafariki kweli ukatoe pole
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,385 Jul 21, 2024 #60 Basi Nenda said: Tupo sana😂 ila fuatilia kama jamaa kafariki kweli ukatoe pole Click to expand... Itaniuma daaah..... nkikumbuka ile singo yake mziki si mziki porn si porn haueleweki😹
Basi Nenda said: Tupo sana😂 ila fuatilia kama jamaa kafariki kweli ukatoe pole Click to expand... Itaniuma daaah..... nkikumbuka ile singo yake mziki si mziki porn si porn haueleweki😹