Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,523 Reaction score 14,198 Jul 21, 2024 #1 Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari.
Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Jul 21, 2024 #2 Yupo! Amerudi na leo amechangamka sana
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,523 Reaction score 14,198 Jul 21, 2024 Thread starter #3 ephen_ said: Yupo! Amerudi na leo amechangamka sana Click to expand... ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school
ephen_ said: Yupo! Amerudi na leo amechangamka sana Click to expand... ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Jul 21, 2024 #4 Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Haya ndiyo maajabu ya jf sasa! We huogopiii?
Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Haya ndiyo maajabu ya jf sasa! We huogopiii?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,355 Jul 21, 2024 #5 Itakua bado anatumikia kifungo chake... Cc: Mahondaw
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,523 Reaction score 14,198 Jul 21, 2024 Thread starter #6 Smart911 said: Itakua bado anatumikia kifungo chake... Cc: Mahondaw Click to expand... Alishatoka , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia
Smart911 said: Itakua bado anatumikia kifungo chake... Cc: Mahondaw Click to expand... Alishatoka , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 3,653 Reaction score 7,657 Jul 21, 2024 #7 Ndugu Don Nalimison anawezekana keshafika kwa Maria Obama
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,333 Jul 21, 2024 #8 Orketeemi said: mwenyewe , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia Click to expand... Anaonewa au anaichokoza dunia yeye mwenyewe kama Hamas?
Orketeemi said: mwenyewe , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia Click to expand... Anaonewa au anaichokoza dunia yeye mwenyewe kama Hamas?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,333 Jul 21, 2024 #9 Medecin said: Deo mbona amefariki mwaka juzi, tumemzika Mwanza Mkolani kwa wazee wake Click to expand... Really?🤔
Medecin said: Deo mbona amefariki mwaka juzi, tumemzika Mwanza Mkolani kwa wazee wake Click to expand... Really?🤔
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,776 Jul 21, 2024 #10 Kawa daktari ila unashangaa udaktari wake anakwambia ushirikina
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,414 Reaction score 3,333 Jul 21, 2024 #11 Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Hakuwa amezaliwa kabisa huyo mrs. Mwashambwa.
Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Hakuwa amezaliwa kabisa huyo mrs. Mwashambwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,355 Jul 21, 2024 #12 Orketeemi said: Alishatoka , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia Click to expand... Aliswekwa tena, kuna nyimbo ya kindezi alimuimbia mtawala... Cc: Mahondaw
Orketeemi said: Alishatoka , Kwa msamaha wa Rais. Jamaa anaonewa Sana na hii Dunia Click to expand... Aliswekwa tena, kuna nyimbo ya kindezi alimuimbia mtawala... Cc: Mahondaw
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,304 Jul 21, 2024 #13 nalimison atakuwa tour ya album yake.
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,408 Reaction score 3,654 Jul 21, 2024 #14 Kuanzia 2017 had 2018 alianza kuadimika deo nalimi kisandu japo kuna member amesema amefariki
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Jul 21, 2024 #15 Majibu ya wadau humu, ndiyo maana uongozi wa JF ulikuja na mambo ya JamiiCheck Maana majibu sio ya Nchi hii
Majibu ya wadau humu, ndiyo maana uongozi wa JF ulikuja na mambo ya JamiiCheck Maana majibu sio ya Nchi hii
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,992 Reaction score 12,036 Jul 21, 2024 #16 Orketeemi said: Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari. Click to expand... Yupo shinyanga
Orketeemi said: Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari. Click to expand... Yupo shinyanga
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,136 Reaction score 13,401 Jul 21, 2024 #17 Ntaulizia taarifa zake kwao Nyihogo-Kahama.Huyu home boy wangu.
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Jul 21, 2024 #18 ephen_ said: Haya ndiyo maajabu ya jf sasa! We huogopiii? Click to expand... Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Alikuwa vidudu huyu.
ephen_ said: Haya ndiyo maajabu ya jf sasa! We huogopiii? Click to expand... Orketeemi said: ephen_ sidhan hata kama enzi Deogratias Kisandu kuchangamka humu wewe ulikuwa Primary school Click to expand... Alikuwa vidudu huyu.
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,136 Reaction score 13,401 Jul 21, 2024 #19 Grahams said: Majibu ya wadau humu, ndiyo maana uongozi wa JF ulikuja na mambo ya JamiiCheck Maana majibu sio ya Nchi hii Click to expand... Wanazingua sana wadau.
Grahams said: Majibu ya wadau humu, ndiyo maana uongozi wa JF ulikuja na mambo ya JamiiCheck Maana majibu sio ya Nchi hii Click to expand... Wanazingua sana wadau.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Jul 21, 2024 #20 EEX said: Wanazingua sana wadau. Click to expand... Hatari sana wadau 🙌