DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,658 Reaction score 81,564 May 14, 2024 #21 Mshana hana tatizo na ni moja ya watu wenye hekima sana hapa Tanzania.
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,628 Reaction score 19,810 May 14, 2024 #22 Kaingia 18 za wachawi zaidi yake wamemuweka msukule
Ubena Zomozi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,698 Reaction score 1,333 May 15, 2024 #23 Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi,plagiarism na undumilakuwili wake. Click to expand... Ni kweli kabisa hana lolote
Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi,plagiarism na undumilakuwili wake. Click to expand... Ni kweli kabisa hana lolote
Ubena Zomozi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,698 Reaction score 1,333 May 15, 2024 #24 matunduizi said: Hivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa. Click to expand... Hana hata nauli ya kuwapeleka watu upareni sembuse china
matunduizi said: Hivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa. Click to expand... Hana hata nauli ya kuwapeleka watu upareni sembuse china
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,637 May 15, 2024 #25 katoto kazuri said: Anipe mimi Click to expand... Hivi ulipotelea wapi bila shaka ulienda shule kujifunza namna ya kuandika vizuri mda utadhihirisha kama ulienda huko kujifunza au kupoteza mda
katoto kazuri said: Anipe mimi Click to expand... Hivi ulipotelea wapi bila shaka ulienda shule kujifunza namna ya kuandika vizuri mda utadhihirisha kama ulienda huko kujifunza au kupoteza mda
Fallback JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 11,400 Reaction score 20,569 May 15, 2024 #26 Bujibuji Simba Nyamaume said: Mshana Jr sio mchawi, kutana na jichawi, ngoja aje huku akupe za chembe Click to expand... Last seen Monday at 5:39 PM
Bujibuji Simba Nyamaume said: Mshana Jr sio mchawi, kutana na jichawi, ngoja aje huku akupe za chembe Click to expand... Last seen Monday at 5:39 PM
Ubena Zomozi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,698 Reaction score 1,333 May 15, 2024 #27 BUSH BIN LADEN said: Kaingia 18 za wachawi zaidi yake wamemuweka msukule Click to expand... Itakuwa kweli
BUSH BIN LADEN said: Kaingia 18 za wachawi zaidi yake wamemuweka msukule Click to expand... Itakuwa kweli
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,426 Reaction score 60,827 May 15, 2024 #28 Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogo
Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogo
Chendembe JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 458 Reaction score 500 May 15, 2024 #29 Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Kalamba teuzi
Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Kalamba teuzi
Iyerdoi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 2,727 Reaction score 3,929 May 15, 2024 #30 Bush Dokta said: Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogo Click to expand... Inawezekana, na mbaya zaidi ni ile ndege aliyotumia kwenda alilipa nauli ya to & fro sasa ndege imekwama Malaysia anaisubiria itengenezwe.
Bush Dokta said: Atakuwa Yuko China, alitangaza ofa ya kwenda na wafanyabiashara wenye mitaji midogo Click to expand... Inawezekana, na mbaya zaidi ni ile ndege aliyotumia kwenda alilipa nauli ya to & fro sasa ndege imekwama Malaysia anaisubiria itengenezwe.
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,182 Reaction score 5,606 May 15, 2024 #31 Hakika tumemkumbuka
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,765 Reaction score 86,447 May 16, 2024 #32 kashikwa na kibinti cha miaka 18 kinampa mavitu kachanganyikiwa!,mganga kasahau tungule hirizi zimeshindwa hekaheka za kitoto mahaba!..😂
kashikwa na kibinti cha miaka 18 kinampa mavitu kachanganyikiwa!,mganga kasahau tungule hirizi zimeshindwa hekaheka za kitoto mahaba!..😂
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,206 May 16, 2024 #33 Kaenda kutambika kule huwa wanavaa kaniki nyeusi tu simu haziruhusiwi
Mcheza Piano JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 562 Reaction score 1,342 May 16, 2024 #34 Atakuwa amefariki economically