Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 May 14, 2024 #1 Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 May 14, 2024 #2 Mshana Jr sio mchawi, kutana na jichawi, ngoja aje huku akupe za chembe
N Ntu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,038 Reaction score 697 May 14, 2024 #3 Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi,mwenye taarifa atugaie. huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Mshana Jr unaitwa huku Mkuu....
Mhafidhina07 said: Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi,mwenye taarifa atugaie. huyu mtu tunaye au hatunaye? Click to expand... Mshana Jr unaitwa huku Mkuu....
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 May 14, 2024 Thread starter #4 Bujibuji Simba Nyamaume said: Mshana Jr sio mchawi, kutana na jichawi, ngoja aje huku akupe za chembe Click to expand... kuna kipindi alikuwa anatafuta mtu wa kumpa mikoba
Bujibuji Simba Nyamaume said: Mshana Jr sio mchawi, kutana na jichawi, ngoja aje huku akupe za chembe Click to expand... kuna kipindi alikuwa anatafuta mtu wa kumpa mikoba
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,390 Reaction score 7,838 May 14, 2024 #5 Naskia yupo kozi. Sent using Jamii Forums mobile app
katoto kazuri JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 6,126 Reaction score 5,756 May 14, 2024 #6 Anipe mimi
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 2,098 Reaction score 3,990 May 14, 2024 #7 msakaa jr said: Naskia yupo kozi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Level 2 au level 1??
msakaa jr said: Naskia yupo kozi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Level 2 au level 1??
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,667 Reaction score 21,871 May 14, 2024 #8 Mkewe toka kajifungua mwamba yuko kimya sana Au maternity zenyewe
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,360 Reaction score 37,174 May 14, 2024 #9 Imekua muda Sanaa MTU wa watu sanaaa mshana jr Yupo kimya Sanaa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,642 May 14, 2024 #10 Kweli Ila yupo
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 May 14, 2024 #11 Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi,plagiarism na undumilakuwili wake.
T The atlantic JF-Expert Member Joined Aug 1, 2023 Posts 458 Reaction score 783 May 14, 2024 #12 Huyu mwamba kweli kapotea....dizaini kama vichwa hapa jukwaani vinatukacha kiaina.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,360 Reaction score 37,174 May 14, 2024 #13 Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Yaan wewe kwa hii comment yako hauna tofauti na MAFARISAYO wa zamani wale walio mtesa masiya wa bwana😊😊 ✌️✌️✌️
Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Yaan wewe kwa hii comment yako hauna tofauti na MAFARISAYO wa zamani wale walio mtesa masiya wa bwana😊😊 ✌️✌️✌️
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,414 Reaction score 3,333 May 14, 2024 #14 Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya.
Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 May 14, 2024 #15 Yupo mbona Kuna Uzi wake wa ndege nimemuona Jana kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,508 Reaction score 23,459 May 14, 2024 #16 Hivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa.
Hivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa.
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 May 14, 2024 #17 Kiungopunda said: Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya. Click to expand... We mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu.
Kiungopunda said: Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya. Click to expand... We mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 May 14, 2024 #18 Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Mshana mbona mtu poa mkuu?
Sir Khan said: Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake. Click to expand... Mshana mbona mtu poa mkuu?
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 May 14, 2024 #19 machiaveli said: Mshana mbona mtu poa mkuu? Click to expand... Hata Hitler ambaye mabilion ya watu wanamchukia kwangu ni mtu poa sana.
machiaveli said: Mshana mbona mtu poa mkuu? Click to expand... Hata Hitler ambaye mabilion ya watu wanamchukia kwangu ni mtu poa sana.
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,414 Reaction score 3,333 May 14, 2024 #20 Sir Khan said: We mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu. Click to expand... Haya hongera kwa kuonesha uchi wa akili yako. Byeeeeeee
Sir Khan said: We mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu. Click to expand... Haya hongera kwa kuonesha uchi wa akili yako. Byeeeeeee