Yupo wapi Betram Mwombeki

Yupo wapi Betram Mwombeki

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
bado yupo simba? au na yeye ni muathirika wa bandika bandua za hanspope..all in all simba mmeua kipaji chake.
 
alikuwa mchezaji mzuri,ukijumuishana body,tatizo ni wabongo wanadhani mchezaji mzuri ni yule anaepiga chenga sana.
 
Anaonekana kama angecheza mechi nyingi zaidi angekuwa tegemeo national team,anacheza kama drogba hivi,hana mambo mengi
 
download.jpg
ALIKWENDA KUFANYA MAJARIBIO UAE lakn akashindwa/chelewa...na amerudi bongo akisema anataka kujikita na biashara............huyu ni miongoni mwa wachezaji ambao alisajiliwa kwa kuipa tmu fedha si timu kumoa fedha hivyo ana uwezo mzuri tu wa kifedha na sasa anaendelea kusimamia biashara zake japo aliipenda soka lkn soka halikumpenda.....................Mbega aliponzwa na fedha zake.....................
 
Mwombeki alikuwa na kipaji kipi mbona alikuwa wa kawaida sana.angekuwa na uwezo angepata Timu Uarabuni
 
yahoo yule fundi betram mwombeki hatimaye ametua ruvu shooting katika dirisha hili dogo la usajili kwa mkataba wa mwaka mmoja.
 
Last edited by a moderator:
bado yupo simba? au na yeye ni muathirika wa bandika bandua za hanspope..all in all simba mmeua kipaji chake.

Rudi shule ujifunze kusoma na kuandika,Simba haijawahi kuwa na mchezaji anaitwa Bentam Mwombeki,ninayemfaham mimi ni Bentram Mwombeki
 
Back
Top Bottom