wakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.
Ccm haijawahi kushinda kwa kutegemea sanduku la kura
Hawajui kuwa alisha hasi kambiKagasheki wa chama gani?!
Hao bavicha mambo ya CCM wanavamia tu lakini hawaelewi chochote!Hawajui kuwa alisha hasi kambi
Sio kutupwa tuu bali kufukiwa kwenye shimo la taka watoto wasijeokotaSoon tutaanza kuandika thread hapa kuulizana yupo wapi mwanaharakati nguli Maagi Mulaga au Cyprian Musiba its the matter of time. Condom hutupwa baada ya kutumika.
Siasa za BK ni ngumu wananchi wamenyamaza maana siasa za ghiriba waalisha zichoka