Yupo Bukoba anatarajia kumng'oa Lwakatare 2020!Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.
Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.
Mwenye taarifa zake tafadhali
Atakuwa kishapata uteuziNimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.
Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.
Mwenye taarifa zake tafadhali
Ni muda hajasikika au kwa vile hatuangalii zile TV zenye maagizo ya nani atangaze, nani ahojiwe na nini kitangazwe. Vile vile yawezekana hajafurahishwa na kinachoendelea nchini. Kama kuna mwenye taarifa zake atatujulisha na kutueleza ni nini kinamfanya akae kimya.
Kagasheki wa chama gani?!Siyo Kagasheki tena ?
Labda sanduku la silahawakati wa uchaguzi si muda wa kuuliza walipo wanaCCM. kipindi hicho ndicho kinaitofautisha CCM na vyama vingine katika kuusaka ushindi katika sanduku la kura.
Amejitahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kujikomba, bado mzee baba hajamuona! mshauri asikate tamaa, mavyeo bado mengi!Nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya huyu ndugu Baana hasa pale anapokuwa anatoa ushauri au anapokuwa anaonyesha jinsi anavyo iunga mkono ccm.
Inanipa shaka sana kwani simuoni tena akiwa ktk ubora wake wa kutoa michango yake ya kuisifia ccm.
Mwenye taarifa zake tafadhali
Hii ni awamu ya 5 hatuangalii makunyanzi!Kweli wewe ni kada uchwara wa ccm kama unashindwa kuwatambua makada wenzako
Amejitahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kujikomba, bado mzee baba hajamuona! mshauri asikate tamaa, mavyeo bado mengi!
Hii ni awamu ya 5 hatuangalii makunyanzi!
Mimi nawatambua akina Lowassa na kundi lake waliozaliwa upya hao zilipendwa majina yao yameandikwa kwa penseli siwezi kusoma!
Hahahaa......hahahaa..... wewe ndio unayemjua mimi namjua Catherine Maige wa Arusha!Tatizo unarukia treni kwa mbele maana kama wewe ni kada wa kweli wa ccm huwezi kusema humjui Balozi Hamis Kagasheki