Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,765
- 7,596
Na nyie ni miongoni mwa walioishiwa nguvu za kiume? Poleni sana Mkuu zitarudi tu maadam mmeanza kutumia dose ya Pweza!!nipo nae tunakula pweza
Habari wadau wa JF siasa.
Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.
Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Amekuwa mla pweza sikuizi?nipo nae tunakula pweza
Ajitokeze Mara moja moja atoe maoni yake juu ya mambo mbalimbali hapa nchiniKwani wewe ulitaka awe wapi ili aonekane yupo?
Itabidi uwepo umakini ktk kumpigia maana anaweza kuhisi ni watu wasiojulikana wanamsakaMpigie kwa namba hii +2586778665246
Wapi hukoyupo nyumban kwake
Wkt mwingne ukimya ni busara kuliko kubishana na redio ya mbao. Japo tunapoelekea itabidi kuizima redio kwa kutoa betri zile za ABCAjitokeze Mara moja moja atoe maoni yake juu ya mambo mbalimbali hapa nchini
Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!Membe Sio mtu wa kupagawa kwanza maadili yake ya kazi yamemfanya awe mtu tofauti na watu wengine.