Kuna siku nilikua naangalia kipindi cha sport cha EATV, mtangazaji aliwaalika wachambuzi wawili aise jamaa mmoja alikua anataka kuongea peke yake na kuwatoa ufahamu wenzie kua hawajui kitu, ilikua kazi kwa mtangazaji kumkatisha ili na mwenzie azungumze, mwenzie akiongea kidogo kishamkatisha anaongea yeye tu, nilikasirika ile siku na TV nikaizima,
Nakubaliana na wewe kuhusu kukosa utulivu wa akili.