Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?



Ninavyoona mpaka hivi sasa UKAWA wameelekeza nguvu zao zote kwenye uchaguzi wa Lowassa kuwa RAIS na kusahau kuwa madiwani na wabunge ni muhimu sana kumpa nguvu Lowassa iwapo atashinda; hivyo ni vyema wakatia makazo pia kwenye chaguzi za ubunge na madiwani!!!
 
Juzi J1 alikuwa jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni!!!!
 
Hakuwa Mlengwa wa Shughuli hizo ufanyiazo tathimini. Kwa nafasi yake sidhani ni lazima aonekane.
 
Mashine zitumikazo wakati wa kazi maalum!

Anafanya mikakati ya kushindisha chama BUKOBA
 
Huyu hapa kama humjui, akizindua Campaign Bukoba
 

Attachments

  • 1441014831917.jpg
    8.1 KB · Views: 146
tulikuwa naye jukwaa kuu akisimamia usalama,yupo kamanda Muganyizi anagombea ubunge bkb mjini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…