Yupo Kiongozi wa Chadema ananisumbua kutaka nisajiliwe! Nasema achana na mimi gharama yangu ni sawa na beki kisiki Lamine Moro!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.

Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.

Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!

Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!
 
weka ushahidi hpa knge ww
 
Hii fix unamtisha nayo chakubanga akulipe buku tisa kwa thread badala ya buku 7 mnayolipwa kila siku.
 
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.
Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.
Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!
Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!
Unajitamgaza kiaina, wewe na yeye mnakutana kisha unakuja hapa kulalama, you are a coward hufai kushika uongozi hata wa kijiji cha watu miamoja.
 
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.

Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.

Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!

Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!
Kumbe unajiuza?manake hiyo bei yako ni sawa na wale wa kinondoni
 
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.

Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.

Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!

Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!
This lady is completely mad,she always utter nonsense.
 
Kama kuna kiongozi wa chadema atakusumbua wewe bas huyo ni mpumbavuu kabisa. wewe una nini ??wakati umehangaika kujipendekeza lkn mh kaona huna uwezo hata wakupewa u-DC tena kapelekewa jina kakata. Acha lopolopo ww😂😂
 
Angalia Bwana dunia imebadilika Sana Sasa hivi. Utawaza anataka kukusajili chadema kumbe anataka vingine!
 
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.

Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.

Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!

Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!

Pole sana dada

Labds anafagilia sana hilo nyomi lako la nyuma na hiyo mihipsi.

Ongea vizuri waweza lamba bingo.
 
Kwa kadhia hiyo nimegundua vijana wengi humu wanasajiliwa kwa sababu na maslahi ya vyama vya Siasa.

Toka juzi kiongozi fulani wa Chama hicho ananisumbua kutaka nisajiliwe huko.Pamoja na kwamba siwezi na haitatokea bado analeta ushawishi mda wote.

Itoshe kukueleza ndugu Kiongozi mimi sihamishwi kirahisi hivyo.Na kama ni thamani yangu kwa sasa ni sawa na ilivyo kwa BEKI KISIKI LAMINE MORO WA YANGA KWENYE TIMU YAKE!

Kwa hiyo pambaneni na hali yenu!
WEWE UNA AKILI SANA, UMEONA KUNA NJAA HUKO, UKAFANYE NINI.

UNGEKUWA MKWELI WALA USINGEHANGAIKA KULETA ISSUE HAPA, LABDA WATAKA AONGEZE DAU, AU WANGOJEA PESA ZA ACT ZITOKE OMAN.
 
Hii thread nimemforwardia polepole na jina lako. Kasema anaangalia angalia nafasi gani itakufaa ili usije enda chadema. Safi sana uwakatalie hivyo hivyo na uwe unatupa siri kama hizi.sawa? Nmemwambia kama haina shida basi awe anakupa tsh 10,000 badala ya 7000 ya kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom