Yupi ni rahisi kuchukua hatua?

Yupi ni rahisi kuchukua hatua?

Kyalow

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,563
Reaction score
2,612
Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile.
Katika swala zima la kuweka zile Application za kufuatilia nyendo za mkewe katika simu....
 
kufuatilia kila mara cmu ya mwenza sio vizuri unaweza ukakuta vitu vya ajabu huko na usivyovielewa na ukavunja ndoa yako.
 
Aleko musalaam dr...

Habari za uzima wako na habari za kumisiwa na mimi sana?

Nzuri sana dr.........moyo wangu pia umekukosa sana.........wacha ni du ze nidful upande ule wa kule.........tchaaa.......
 
Hamja nielewa wote...someni kwa makini msikurupuke ku comment tuu
 
Back
Top Bottom