Umesahau yule mliyekutana naye JF.
habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie afya njema.
(topic)
mabibi na mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?
(1) ni yule uliokutana nae mtaa mmoja au jirani!
(2) ni yule uliokutana nae shuleni au chuoni!
(3) ni yule uliokutana nae kwenye matatizo!
(4) ni yule uliokutana nae kwenye raha au starehe!
(5) ni yule uliokutana nae safarini!
(6) ni yule uliotafutiwa na wazazi!
(7) ni yule muliokutana nae kwenye facebook! au alikosea namba
(8) ni yule mulikutana nae kwenye ibada -kanisani au kwenye shuhuli!
(9) ni yule mjane alioachwa na jirani yako!
(10) au ni yule muliokutana nae ofisi moja
Naombeni majibu ya maswali aya 10 na mwenye kuweza kudadavua au kutoa ushuhuda. uwanja ni huu
Uliekutana nae mtaa mmoja
1. Jifunze matumizi ya H kwenye red, ili usiwe unaharibu utamu wa thread kwa kukoseakosea kiswahili sanifu
2. Hakuna kanuni/principle inayoweza kukupa jibu sahihi. Hapo inategemea tu mke/mume mwema waweza kutana naye popote bila kujali sehemu hizo ulizozitaja. Cha muhimu ni kumwomba Mungu akusaidie upate mwenzi wako mwema
Umesahau yule mliyekutana naye JF.
Kasahau point muhimu hii
Uliekutana nae kwenye maombi...
habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie afya njema.
(topic)
mabibi na mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?
(1) ni yule uliokutana nae mtaa mmoja au jirani!
(2) ni yule uliokutana nae shuleni au chuoni!
(3) ni yule uliokutana nae kwenye matatizo!
(4) ni yule uliokutana nae kwenye raha au starehe!
(5) ni yule uliokutana nae safarini!
(6) ni yule uliotafutiwa na wazazi!
(7) ni yule muliokutana nae kwenye facebook! au alikosea namba
(8) ni yule mulikutana nae kwenye ibada -kanisani au kwenye shuhuli!
(9) ni yule mjane alioachwa na jirani yako!
(10) au ni yule muliokutana nae ofisi moja
Naombeni majibu ya maswali aya 10 na mwenye kuweza kudadavua au kutoa ushuhuda. uwanja ni huu
Ni yule mliyekutana kwenye biashara ya kukodisha mwili
Wa mtaa mmoja mnajuana vizur na istoshe hata family zote mtakua mnajuana na hatokuzingua na chochote coz wawajua vizuri hali yao ya kimaisha hao wa kwenye stareh sheh mtihan