Yupi mke mwema kati ya hawa.........!?

kamshange

New Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
3
Reaction score
2
1.Anakiburi ila kitandani Mtaalamu.
2.Mpole na mnyenyekevu ila kitandani kama Gogo.
3.Mtaalamu kitandani ila hajui kupika.
4.Anajua kupika,kitandani mtaalamu,mpole sana Ila mama Huruma.
5.Anaheshima,anajua kupika,mpole Ila kitandani hadi umchanie CHUPI.
 


Bora ichanwe chupi maana taratibu akishaona chupi huchanwa ataacha kuivaa akishamuelewa Mwanaume. Lakini hayo majanga mengine mhhhh!
 


Lalalalah!! No comment!!
 

Bora ichanwe chupi maana taratibu akishaona chupi huchanwa ataacha kuivaa akishamuelewa Mwanaume. Lakini hayo majanga mengine mhhhh!

na akishachaniwa chupi akazoea mwisho wa siku atakuwa anavua chupi mwenyewe mpaka kwa jirani yako hapo itakuwaje?
 

Bora ichanwe chupi maana taratibu akishaona chupi huchanwa ataacha kuivaa akishamuelewa Mwanaume. Lakini hayo majanga mengine mhhhh!

Nilisha wahi kukutana nao sehemu fulani kuna baridi sana kwahiyo mpaka muanze kwa kurupushani akiona umekata tamaa anakuambia" ukiona nimenyamasa ujuage nimekubaali, akiona hufanyi kitu anasema niangusage basi mkianza kamchezo katam utapenda uhamie
 
3.Mtaalamu kitandani ila hajui kupika.
.... Kupika nitamfundisha taratibu ataelewa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…