omaey ashiru
Member
- Dec 8, 2020
- 42
- 33
Wadau huwa najiuliza hivi yupi mkali Kati ya rapper na mc na wana tofauti gani ila nakosa majibu Sasa naomba 2discuss
OukayMC, anavitu vyote ambavyo rapper anavyo, na sio kinyume
MC mfano nash MC, nyenza MC, Fid Q
Rapper mfano youg D, Mr blue
Anaanza MC ndio anakuja rapper
MC wanaishi kwenye misingi 5 ya hiphop
Rapper just ana rap tu,
Huwezi kumuweka kundi moja FID Q na YOUNG D
kitu anachofanya young D fid Q anakiweza, ila anayofanya fid Q young D ataishia kumuangalia tu na kumpigia makofi
Umechambua vyema mkuu kwa wenzetu majuu unaweza sema 50cent ni Rapper, lakn Mos Def ni Mc yah Mc anaweza fanya vyote anaandika anafanya freestyle,na anaflow pia kwa upande wa pili kuna marapa wanarapu tuu lakin hawajui kuandika hawajui kufreestyleMC, anavitu vyote ambavyo rapper anavyo, na sio kinyume
MC mfano nash MC, nyenza MC, Fid Q
Rapper mfano youg D, Mr blue
Anaanza MC ndio anakuja rapper
MC wanaishi kwenye misingi 5 ya hiphop
Rapper just ana rap tu,
Huwezi kumuweka kundi moja FID Q na YOUNG D
kitu anachofanya young D fid Q anakiweza, ila anayofanya fid Q young D ataishia kumuangalia tu na kumpigia makofi
Katika chimbuko la hiphop, kulikua na MC tu,Umechambua vyema mkuu kwa wenzetu majuu unaweza sema 50cent ni Rapper, lakn Mos Def ni Mc yah Mc anaweza fanya vyote anaandika anafanya freestyle,na anaflow pia kwa upande wa pili kuna marapa wanarapu tuu lakin hawajui kuandika hawajui kufreestyle