Nakusikiliza ....
Yupi katisha zaidi?
Hahahahhahahahaha, teamwork?? Kazi kwelikwelikatisha huyo mbinafsi kabeba vipaza sauti vyote yeye peke yake hana team work
Mara mojamoja uwe unapumzika kunywa viroba vitakuua kijana
Usijali, ni vijimambo tuMimi ndo natakiwa nikusikilize wewe maana umeniita