Yupi bora kati ya mke au ndugu?

Yupi bora kati ya mke au ndugu?

kila mmoja ana nafasi yake na status yake, hawalingani na hawafanani.
mke ni mke atabaki kuwa mke na ndugu ni ndugu atabaki hivyo. usiumize kichwa kuwalinganisha maana HAWALINGANI na hawaingiliani.
 
Yupi bora kati ya mke ama ndugu?!

Kuna bro wangu mmoja swala la ndugu usimwambie kitu yupo radhi amtimue mkewe anasema ndugu zake wamwachie lakini kuna bro mwingine anasema habari ya mke wake na familia yake ndugu wasiingilie wala wasimpangie wamwache na maisha yake na mkewe.?



suala la ubora ni kitu kingne kabsa. isipokuwa ktk nafasi mke ndo anayo nafasi kubwa kuliko ndugu. na hili wengi hawaeliwi.
 
Wote ni wa muhimu kwa nafasi tofauti ila Mwanaume anapaswa kutenga muda mwingi zaidi kwa mkewe kwsbb hata maandiko yanasema "Utaachana na Wazazi wako nawe Utaambatana na mkeo "
 
hapo hakuna comparison upendo unatofautiana...........wapende ndugu zako kwa nafasi yao na familia yako kwa nafasi yake
 
hapa mkuu nimekuelewa sana:lock1:
Wote ni wa muhimu kwa nafasi tofauti ila Mwanaume anapaswa kutenga muda mwingi zaidi kwa mkewe kwsbb hata maandiko yanasema "Utaachana na Wazazi wako nawe Utaambatana na mkeo "
 
Back
Top Bottom