Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,095
- 933
diplomasia au diploma/ stashahadaMmh..mweny diplomasia mbili..
ndio mkuuMnapigania cheo
Sio degree zote ni bora kuliko diploma.Wabongo bana... acha kulinganisha degree na mambo ya kitoto
Umenena vyema sana mkuu. Bora hamsini nzima kuliko mia mbovu.Sio degree zote ni bora kuliko diploma.
Inategemea diploma yenyewe umesoma nini na kwa wakati gani.
Kwa mfano kwa wakati tulio nao,ni bora ukasoma diplom ya kada za afya(clinical medicine,nursing,medical lab au pharmaceutical science)kuliko hata bachelor degree ya ualimu wa masomo ya sanaa.
Pamoja sana mkuu.Umenena vyema sana mkuu. Bora hamsini nzima kuliko mia mbovu.
Jipe moyo tu.... mfano hauendani na uharisia ndo wabongo tulivoUmenena vyema sana mkuu. Bora hamsini nzima kuliko mia mbovu.
Kwanza kabisa jifunze kuandika maneno ya kiswahili kwa usahihi.Jipe moyo tu.... mfano hauendani na uharisia ndo wabongo tulivo