Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,095
- 930
Nilikuwa nabishana na jamaa zangu hapa kuhusi yupi bora zaidi aliesoma diploma mbili za fani tofauti au aliesoma shahada ya fani moja kwa mfano mtu alianza kusoma diploma ya ustawi wa jamii halafu baadae akasoma diploma ya nursing na mwingine akasoma bachelor of science in nursing moja kwa moja....