Yupi anarusha yupi anapokea?

Mwenye nguo nyeusi amamrushia aliyevaa jezi ili mechi iendelee...
 
Hapo ni ktk mechi sio mazoezi kwahiyo ni ngumu mchezaji kumrushia kocha mpira, lakni ni rahisi kocha kumrushia mpira mchezaji iwapo mpira umetoka nje ya uwanja kwa ajili ya kuurusha

na itakuwa vp kama mipira ilirudishwa miwili uwanjani na huo mmoja unarudishwa nje
 
Iko hivi Pochetino anausubiria mpira ili ampe walker wakati walker nae anasubiria kurushiwa mpira na pochetino
 
Tazameni mikono ya kocha inaonesha kuupokea mpira na si kuurusha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…