Yunus chilongolosi mkt wa chadema ilemela..kaanza na matusi.wanaopinga maamuzi ni wahuni tu

  • Thread starter Asenga wa Pakaya
  • Start date

Asenga wa Pakaya

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
261
Likes
0
Points
0
Asenga wa Pakaya

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
261 0 0
Akizungumza punde na star tv amesema kuwa
Wote wanaokataa maamuzi ya kamati kuu ni wahuni tu na sio wanachadema

Du matusi haya ni kama yale....kula majan bt tutanunua tu
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
[h=5]HISTORIA FUPI YA MAREHEMU CHADEMA

MAREHEMU ALIZALIWA 1992 NA AMEFARIKI 2013 , ALIPITIA CHANGAMOTO NYINGI SANA, KWANI MAREHEMU HAKUWAHI KWENDA SHULE KABISA. MAREHEMU AMEFARIKI AKIWA ANATIBIWA NA DAKTARI ALIYEPATA ZIRO FORM SIX BADALA YA KUMPASUA MAREHEMU MGUU AMEMPASUA KICHWA NA KUTOA UBONGO (ZITTO).

MAREHEMU AMEACHA MAMBULULA WENGI SANA MTAANI AMBAO HAWANA MSAADA WAMEBAKI OMBA OMBA.

CCM ILITOA NA CCM IMETWAA. JINA LA CCM LIDUMU
[/h] 
G

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,337
Likes
3
Points
135
Age
28
G

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,337 3 135
Ametumia lugha laini sana.

Alitakiwa kusema wanaopinga maamuzi ya Kamati Kuu ni matapeli na magaidi wa kisiasa..It could sound much strong!!
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,697
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,697 280
Chadema wamejiua wenyewe hakuna wa kumlalamikia.
 
S

Schofild

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
204
Likes
5
Points
35
S

Schofild

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
204 5 35
Rits na rais wa migomo mtakuwa na akili mtakapokufa.mtasubiri sana cdm ife
 
Asenga wa Pakaya

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
261
Likes
0
Points
0
Asenga wa Pakaya

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
261 0 0
Wanachama wenyewe watakuja hapa kujibu
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,821
Likes
760
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,821 760 280
Akizungumza punde na star tv amesema kuwa
Wote wanaokataa maamuzi ya kamati kuu ni wahuni tu na sio wanachadema

Du matusi haya ni kama yale....kula majan bt tutanunua tu
kuna wana zito na wana chadema
 
Troojan

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
922
Likes
436
Points
80
Troojan

Troojan

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
922 436 80
sasa hapo tusi liko wap?jf kuna watu vilaza adi Mda mwingine naona kucoment post Zao ujinga.chadema ikifa ujue ccm ilishaoza makaburini
 
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Messages
1,816
Likes
7
Points
0
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2013
1,816 7 0
HISTORIA FUPI YA MAREHEMU CHADEMA

MAREHEMU ALIZALIWA 1992 NA AMEFARIKI 2013 , ALIPITIA CHANGAMOTO NYINGI SANA, KWANI MAREHEMU HAKUWAHI KWENDA SHULE KABISA. MAREHEMU AMEFARIKI AKIWA ANATIBIWA NA DAKTARI ALIYEPATA ZIRO FORM SIX BADALA YA KUMPASUA MAREHEMU MGUU AMEMPASUA KICHWA NA KUTOA UBONGO (ZITTO).

MAREHEMU AMEACHA MAMBULULA WENGI SANA MTAANI AMBAO HAWANA MSAADA WAMEBAKI OMBA OMBA.

CCM ILITOA NA CCM IMETWAA. JINA LA CCM LIDUMU

Yani wewe ndi sifuri kabisa, kila post unapost huu upumbavu wako.
Hakika kila mtu hutambulika kutokanana matendo yake.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
57,984
Likes
55,087
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
57,984 55,087 280
HISTORIA FUPI YA MAREHEMU CHADEMA

MAREHEMU ALIZALIWA 1992 NA AMEFARIKI 2013 , ALIPITIA CHANGAMOTO NYINGI SANA, KWANI MAREHEMU HAKUWAHI KWENDA SHULE KABISA. MAREHEMU AMEFARIKI AKIWA ANATIBIWA NA DAKTARI ALIYEPATA ZIRO FORM SIX BADALA YA KUMPASUA MAREHEMU MGUU AMEMPASUA KICHWA NA KUTOA UBONGO (ZITTO)

MAREHEMU AMEACHA MAMBULULA WENGI SANA MTAANI AMBAO HAWANA MSAADA WAMEBAKI OMBA OMBA.

CCM ILITOA NA CCM IMETWAA. JINA LA CCM LIDUMU

WEWE MASIKINI huuwezi muziki wa cdm , utabaki hivyohivyo! NIMEKUDHARAU SANA !
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
57,984
Likes
55,087
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
57,984 55,087 280
KUPINGA MAAMUZI ya KAMATI KUU ni uhuni uliopitiliza , tunaangalia utaratibu wa kisheria wa kuwaburuza mahakamani wote wanaoropoka hovyo mitaani kupinga maamuzi halali ya chama .
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,542
Likes
4,503
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,542 4,503 280
Acha na mimi nikatoe tamk:-D
 
S

southamerica

Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
34
Likes
0
Points
0
S

southamerica

Member
Joined Apr 30, 2013
34 0 0
Yani wewe ndi sifuri kabisa, kila post unapost huu upumbavu wako.
Hakika kila mtu hutambulika kutokanana matendo yake.
You were prepared for that, hope you are ready paid for that, poor you! wonderful enough got only, 7 thousands. Day dreams, you have to wait for so long.
 
S

southamerica

Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
34
Likes
0
Points
0
S

southamerica

Member
Joined Apr 30, 2013
34 0 0
Katuliza akili wee, kazi kubwa, buku 7, njaa kali
 
Forum statistics

Threads 1,273,020
Members 490,242
Posts 30,467,873