Yule Nanihi ndio Nani?

We mshana jr ni yule nanihii bana we humjui yule nanihii wa nanihii bana
 
Last edited by a moderator:
mshana jr ni nanihii bana yule aahh jina linanitoka kila saa ila ni nanihiii wa kipindi kile aliyejiuzulu bana kwenye unanihiii mkubwa mkubwa hivi

Hahahaa unajifanya tuu hujui unamaanisha mzee wa Mondlane?
 
Last edited by a moderator:
Kaka MziziMkavu,tunaogopa kumtaja huyo nanihii si unajua tena msitu wa mabwepande hauko mbali?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…