Yule Mugalu pale Simba ni mshambuliaji, beki na/au ana kazi gani pale?

Airfryer

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
430
1,032
Kuna wachezaji Wengine sijui wanafanya nini uwanjani, Mtu anaruka ruka tu dakika zote haeleweki anataka kufunga au anataka kukaba

Huyo Mugalu ndio maana alipigwa kadi nyekundu South kwa Orlando

Sasa pale South alikuwa anataka kumvunja mtu katikati ya uwanja alikuwa anawaza nini kichwani?

Hivi Simba huyu mtu mmemsajili kama Beki au Straika maana anaruka ruka tu uwanjani
 
Hamna mtu muke, kuna mtu atakwambia anakaa na mali, yaani mugalu akae na mali sasa bakhresa anakaa na nini

Hiyo mipira ambayo anakaa nayo huwa sioni, striker hata haipunguzi beki kwenda kutupia, bado jukumu lake la kufunga halitimizi, kwangu ni aheri ya KAGERE mbovu kuliko mugalu mzima.
 
Ile game dhidi ya Orlando kuna muda jamaa alikosa goli la wazi kabisa alafu dk chache mbele akapigwa red. daah alitukaba sana!

Simba wawe serious aisee kwenye usajili this time.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mugalu anapenda na kocha kwa sababu anacheza namba mbili kwa wakati mmoja awapo uwanjani!

Ni mshambuliaji, lakini pia ni kiungo mkabaji.
 
Ndio maana niliwashangaa viongozi wa simba walipomwekea malengo kocha ya nusu fainali wakati dirisha dogo walishindwa kusajili wakati mugalu na lwanga majeruhi, wote wamerudi lakini hatuoni michango yao
 
Mugalu ni mtu sana hakuna mshambuliaji anayeweza kumfikia kwa uwezo wake. Mugalu ni mshambuliaji mkabaji

Tunataka Magoli , habari ya kukaba amuachie Inonga.

Zinakuja V pass mtu hayupo sehemu sahihi kwa wakati sahihi.

Kocha muda uliobaki alifanyie kazi eneo la ushambuliaji tunataka Magoli ...ni hivyo tu

kama vipi badili huyu Kibu mpeleke awe mshambuliaji wa mwisho, weka Banda pembeni kross zije za kutosha.
 
Aina ya uchezaji wa Mugalu hata mimi naweza.nikipewa pasi mimi na kipa na butua tu mpira uende.
 
Sijui kwann ila navutiwa na anavyocheza Mugalu ingawa kutokuwa clinical ni tatizo lake kubwa
 
Kwa washambuliaje pale Simba nani ana afadhali kuliko Mugalu..!?

Bocco na Kagere wamepelea...
 
Back
Top Bottom