Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Bora umejileta mwenyewe..
Udongo Wako haujasaidia watu,mawakala hawapo tena,mesej hawajibu,cm awapokei.
Nini shida..
Nilkutafutia wateja km10 WA udongo,wa4 WA kike na 6 WA kiume.Wanadai haujawasaidia.Nachoka kukujibia maswali Yao.Mawakala hawapokei cm,mesej hawajb.Nini tatzo..Dah!
Hapana si kweli. Kama kuna yoyote hajaridhika na product yetu mbona ni "money back guaranteed".
Sasa hivi udongo wetu unajiuza wenyewe na tupo kwenye miradi mingine na kila nipatapo fursa huwa ninaingia humu kujibu hoja.
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.
Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au kama mama mwenyewe yupo basi jitokeze.
Nilkutafutia wateja km10 WA udongo,wa4 WA kike na 6 WA kiume.Wanadai haujawasaidia.Nachoka kukujibia maswali Yao.Mawakala hawapokei cm,mesej hawajb.Nini tatzo..
Owk saw.. Asante kwa ufafanuzi..Samahani kuhusu hilo, mawakala imekuwa ni ngumu sana kuwa control kwa hizi fani ndogo.
Unaweza kupiga 0625249605 namba ya mume wangu kama yangu hauipati. Mimi nipo site kwenye miradi mingine, inakuwa vigumu kupatikana mara kwa mara.
Ilikuwa n Makumbusho aisee, owk saw.Nipe namba za wakala aliye maeneo haya..Uliinunua wapi hiyo bidhaa yetu uliowapa hao wateja? Kama sisi hutupati? Piga 0625249605
Ilikuwa n Makumbusho aisee, owk saw.Nipe namba za wakala aliye maeneo haya..
Labda tusubirie wadau tusikie wanasemaje
mm nilitumia lakini sjasaidika chochote
Udongo upi?
chunusi zaidi ya vikopo viwili lakini wapiii holaaaaUliitumia kuhusu nini ili tuone kama tunaweza kusaidia zaidi, maana ile tiba yetu ni ya mambo mengi.
Mkuu vipi,haijakusaidia PIA?chunusi zaidi ya vikopo viwili lakini wapiii holaaaa
pia mkasema eti inaotesha nywele kwa wenye vipara duuuuh