captain zaka
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 258
- 256
Habarini wadau: Kama ulifatilia thread yangu ya April , Niliomba ushaur wa kuchkua mkopo wa Milion 30 kwajili ya Biashara ya mahindi na mkanipa ushaur mzur na nikatekeleza na wapo walionirudisha nyuma pia ila Nikaona hizi ni changamoto za kawaida.
Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi
Nakumbuka nliwaambia ntarudi kweny ile thread baada ya kuanza kufanya kazi na kwel Nilirudi kweny ile Thread na kila trip niliyoenda nilipost na ushahidi wa picha na kwakwel nilifanya vizur skutegemea hata juz nimepost baada ya kutoka Kenya kuuza mazao yangu. Rudi kweny ile thread utaiona imeandikwa "Ushaur nahitaji kuchkua mkopo wa milion 30 etc"
Kwa ufupi nilieka stage 3 kweny biashara yangu hio na kunisaidia kuzingatia vilivyo na kufanikiwa:
1: Nikiwa shambani : Nlizingatia Quality , Ukavu wa mazao , Upimaji ili nsipigwe , Ubora wa dalali ili nsitapeliwe , Location nzur ya kunnulia mazao kwajili ya urahisi wa kusafirisha
2: Nikiwa Barabarani kusafirisha : Nlizingatia Vibali muhimu kuepuka usumbufu , TRA kama kawaida nikatfta Tin za uhakika kupita maeneo kama mikumi pale 🥹🙌 japo siku ya kwanza nililipa karbu laki 3 kuvuka pale ile tin ilikua hailipiwi kodi nikapigwa faini 🥹🙌 , pia nkazingatia kampun nzur za kusafirisha kuepuka usumbufu au reckless drivers nkachkua gari za Salmans nzur mno kwan hata ukifika sokon ukikaa hata siku 4 kusubiria mzgo uuzike wao hawana shida ndgo ndgo wanajua masoko yalivo , kampun zngn ukipita siku 1 wanakwmby uwape posho madereva wao sa iyo kitu uongo ☺️
3: Nikiwa Sokon Dar: Nlizingatia Nalipwa kwa wakati na nnachostahili
👆👆Apo nipo sokon dar kipind cha mvua juz juz : Picha zngn za Dar zipo kweny ile thread ingine
Tuendelee Sasa Baada ya kufanya hivo nashkuru Mungu nlifika salama nikawa nauza vizur Na Dar mahindi yakashuka na hilo halikunirudsha nyuma , Nikaanza kupata connection zingine za kwenda Kenya kuuza kwan ukiwa shamban unapatana na watu wengi mnapiga story ivo japo mi mdgo walikua wananchkulia poa sana nakutana na ma faza wakubwa wanaona uyu dogo janja vipi.mbn ana maswali mengi uyu ataeza kwend kenya kwel yan maneno kinao😂😂 Ila mimi sikuwaza nikatfta conncetion nkatfta vibali vya export permits nikatfta agent wa kunivusha upande wa kenya nikapakia mzigo Nikapanda Lorry mbele kwa mbele 😂
👆👆Hapo tukaingia Tarime Alfajir , Agent akanipokea pale custom ya Tz , Akanivusha upande wa pili na kuntftia mteja na siku hio hio nkajifunza kuhusu chenchi na Nikapata uyo mteja nikauza mzgo wangu vzur siku iyo iyo
Hapo nimeiacha Tz , Huku ata bila passport unaingy kwsbb umeleta mzgo , Agent nd muhusika wako ila hufiki mbal unaishia pale boarder tu au karbu yake
Hapo nimevuka upande wa kenya sasa
👆👆Hapo juu kama unavoona wakannua mzigo wangu wote ulikua mzur , Kabla ya kuvuka upande wa pili wakanipa kwanz Nusu ya Ela kweny Account 😂 kisha nkawaruhusu waendelee
👆👆👆 Hapo boss nliemuuzia mzgo nkamuomba Sh 500 ya Kenya Sawa na Elf 10 vimayai vikipita nannua , Vibagia 😂😂😂 Basi videm vya kenya vinauza mayai na vibagia vinakuja napiga navyo story mi agemate wao hawaogopi kuniuliza basi wananiuluza habar za kina rayvanny kina mondi mi nawapa matango pori pale naisifia Tz mambo yakaenda 😂
Basi Alhamdulillah nikamliza biashara nikapewa pesa yangu yote huku agent wangu wa kunivusha boarder kanismamia kila kitu alikua dada mmoja iv naye nikampa sasampa yake maisha yakaendela 😂 nikalipa nauli ya gari karibu 7M 🥹🥹 Nauli kubwa kwsbb madereva wakitoka kule hawarud na mzigo tofaut na dar ukienda mkoani unaenda na mzgo na ukitoka mkoani kuja dar unakuja na mzgo hii nawaachia madereva nd wanajua 🥹🥹 Nikawapa ela yao nami nikabak na Pesa yangu nikapanda hilo hilo lorry nikarud TZ. Hii ndo biashara ya mwisho nimeifanya ni juzi hapa sku mbili nyuma.
Sasa ile kurudi tu njiani nakutana na magari kibao yaliokua yamepeleka masoko ya Uganda uko boarder ya uganda yanakuja sasa kenya kule bei zilishuka na boarder ikafungwa apo sasa wote wanarudi soko la kenya na kenya ivo ivo nimeacha limejaa na serikali imefungia vibali na nahisi wameachiliwa saiv ila hatakama wameachiliwa Inaeza ikawa mwisho wa kuuza kenya ili serikali ianze kunnua mahindi iweke store. serikali wajanja sana 😂
Nimemaliza sasa nitoe shukran;
Wote walionishaur na kunipa moyo Mungu aendelee kuwatunza na wote walionirudsha nyuma Nao pia hawakua na nia mbaya walinihofia kupoteza pesa wakanipa ushaur pia.
Sasa kilichonirudsha tena hapa , Ni kwamba nazidi kufunguka akili zaidi , huku shamban nakutana na matajiri wanannua na wanapeleka masoko yao binafsi kama ni mahindi , Soybeans etc
Mali zipo naona kabisa wanavonnua na nakula nao ata meza moja lunch na dinner ila ukiwauliza haya maharage mnapeleka wap , wanakujibu dogo sisi tuna masoko binafsi tunawapelekea wahindi wana export 🥹🥹 Nawaambia naomben namimi mnipe hao wateja ata hawakuskilizi wanakwmby ni order basi naachana nao 😂
Mimi ni mtu nlienyooka kama una masoko binafsi au unajua mtu anaennua mahindi,ulezi, ufuta maharage ya aina yyte ima wahindi au waarabu plzz naomba Connection , Unipeleke kweny hilo soko niongee nao nikubaliane nao Kisha posho yako ni Cash Laki 3 nakupa hapo hapo , Sina utapeli sina kudhulumu.
Kama upo tayar Ni D.m sjui ni ku P.M kisha unipe maelekezo. Kwa wale wanaotaka kujua pia maendeleo na conncetion zangu pia nicheki
NB ; Utani kidogo : Wadada wa Kenya wazur mno skinny na warefu na English safy 😂😂 ntawarudia wachumba zangu 😂😂