tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Kama wewe uko busy na kazi, kimekuleta nini Ku comment huku?Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Na wewe unafanya nini humu?Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Hivi mnaposema tufanye Nazi mnamaanisha nini,unaambiwa shule zimeuzwa(ajira zimepotea),dangote kafunga(ajira zimepotea),mikopo imekosekana mabenki tunapokopea mitaji,Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Wewe hapa si uko kazini? Sasa unalialia nini tena?Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Umeingiaje humu na huku umebanana na kazi ?! Watu mnajidanganya na kauli mbiu zisizotekelezekaTufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Mie nimesbatoka kwa ofisi ndo niko huku sasa wakat wa mapumzikoTufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Labda huyu kada aelezee kwanza maana ya neno "kazi". Maana mimi binafsi sielewei na pia ninakerwa na hii tabia ya hawa UVCCM kujificha katika kichaka cha "tuchape kazi" kila wanapokosa hoja juu ya mada husika.Hivi mnaposema tufanye Nazi mnamaanisha nini,unaambiwa shule zimeuzwa(ajira zimepotea),dangote kafunga(ajira zimepotea),mikopo imekosekana mabenki tunapokopea mitaji,
Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Logoff JF au delete kile kitufe cha JF na ufanye kazi uachane na social media. Please mind your own business. We are desperate Leave us alone!Tufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Tufanye kaz gan kama aliahidi viwanda lakini mpaka sasa hakuna hata msingi wa kiwandaTufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno
Unatafuta matusi... Watu tunatafuta kazi wewe unasema tufanye kazi!! Kazi zenyewe ziko wap... Mkuu nakuheshimu sanaa kama huna cha kuchangia uwe una nyamazaTufanye kazi jamani. Hizi ngonjera kwenye social media zinatupotezea muda mwingi mno