Una mke HAPANA, una rafiki KASAFIRI, daktari akafanya umbea wa kufananisha ikabidi aweke mambo hadharani baada ya kubaini kuwa wewe ndiye shemejie wa ukweeeeeeeeeee. naona ulikuwa mdogo kama piritonialiharibu bana, kulikuwa na haja gani kutangaza kwa wife kama nina gonorea...
Ee bwana nimeipenda hii stori, lakini usiombee ikutokee, maana unaweza ukanywea, ukawa mdogo kama kidonge cha piriton, Na ukajikuta unampigia magoti 'my wife' na kuomba chonde chonde ili akusamehe!!Jamani hii kitu ni ya kitambo sana, msije mkadhani ni ya hivi karibuni.....LOL
mkuu hili ni neno la kiswahili au macho yanguuuuuuuupole na mshukuru daktari kwa kuwaweka sawa, japo ulitaka kumalaumu.
typing error mkuu i mean KUMLAUMUmkuu hili ni neno la kiswahili au macho yanguuuuuuuu