katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
- Thread starter
- #661
Hahahasasa mbona unakuwa na kihere here hivyo?
Hahahasasa mbona unakuwa na kihere here hivyo?
Hahaha
Kihere here niaje sijakuelewa
Umempa juice iliyojitosheleza yenyeww haitaji makorombezohahaha... unafurahi katoto kazuri
Sasa si unajipa jikumu ambalo sio lako kiasili hicho ni kihere here Chloe 92
hahahaha.. wewe uko tayari kuolewa na mtu anayekupenda ila wewe humpendi?Umempa juice iliyojitosheleza yenyeww haitaji makorombezo
Nilichomaanisha n hivi kwangu mimi kama mwanamke nauona ugumu wa kumkubali mwanaume wakati huo mimi sijampenda ili nisikose mume ni bora niishi mwenyewe mana tutatesana tu
Dada acha kihere here utaumia, unapenda..penda hili ugundue nini? wewe mwanamke kupenda sio jukumu lako, wewe umeumbwa kupokea upendo kutoka kwa mwanaume na kuulipa kwa kuonesha utii.
kaa hivyo hivyo sasa! unajipa uanaume mwenyewe
Haya nimekusikia