ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Kipindi tutaendeleA kufuatilia series kali ya kina bashite jijini itakapoishia Turudi upande huu HIO ID tajwa hapo juu imetoweka Bila kuaga, huyu jamaa pia ni member mwandamizi wa jf karibu Mwongo mmoja atimize Lakini ghafla sijamwona tena Leo Nimejikuta naitafuta hii ID Bila mafanikio