Kidudu Mtu
Member
- Nov 7, 2009
- 64
- 0
Siwaamini sana mijitu inayohama hama vyama hata siku moja...? if there is problem you solve it siyo kuhama/kukimbia chama well labda anaweza kuwa useful kwa chadema time will tell!Ni mweyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kagera. Amejichimiba huko Kagera, anajenga chama kwa kwenda mbele, subiri 2010 utaona matunda ya kazi yake.
.
Ameshakwambia hiyo ndiyo itakuwa mwisho kuhama hama...safari moja huanzisha nyingine....CUF-CHADEMA-CCM-.....Mtoa hoja ameuliza Lwakatare yuko wapi siku hizi na sio yuko wapi leo. Lwakatare amehamia CHADEMA kutoka CUF, haja hamahama kwenye vyama. Mimi nawaheshimu wauza chips kuku kuliko mafisadi. At least wanapata kipato chao halali kutokana na jasho lao.
Ameshakwambia hiyo ndiyo itakuwa mwisho kuhama hama...safari moja huanzisha nyingine....CUF-CHADEMA-CCM-.....
Wewe wafahamu tuondoe gizaniAmeshakwambia hiyo ndiyo haitakuwa mwisho wake kuhama...usilolijua ni kama usiku wa giza
.
nafikiri sana anajuta sna. Walimdanganya sana CHADEMA. na kwa jinsi ninavyoijua Bukoba mjini sijui kama atashika nafasi ya nne katika UBUNGE.
naomba hii muiNOTE kisha mniulize baada ya uchaguzi.
Watu hawana inami naye ni ndumilakuwili tu.
BRBR unakosea!Huyu jamaa aliahidiwa unaibu katibu mkuu CHADEMA kwani walitaka kumtosa bwana Zitto ili apewe yeye,lakini Zitto alipogundua hilo ndipo akaanza harakati za kuwania uenyekiti.Wazee wa CHADEMA walipoketi na Zitto kumshawishi aachane na kugombea uenyekiti yeye akawajibu mbona swala la kuenguliwa unaibu katibu mkuu na kubandikwa Lwakatare hamlizungumzii!?Hapo mzee Bob Makani akatoa amri kuwa Lwakatare awe mwamasishaji chama Kagera na Zitto aendelee na nafasi yake ya unaibu katibu mkuu.Yaliyotokea wote mmeyaona au kuyasikia sitaki kuyarudia tena,ila kwa taarifa ya jana tuu bwana Lwakatare amekutana na captain Chiligati ktk ukumbi wa Blue Pearl Hotel pale Ubungo plaza kwa mazungumzo yaliyochukua takribani masaa 2,sasa kilichozungumziwa huko ni siri yao ila tutege masikio yetu kwani hawa sisieeemu siwaaamini sana,maana Akwilombe,Tambwe,Atiki,Ngawaiya,Lamwai,Mtemvu,mswanzigwanko...n.k wote walikuwa katika upinzani!nafikiri sana anajuta sna. Walimdanganya sana CHADEMA. na kwa jinsi ninavyoijua Bukoba mjini sijui kama atashika nafasi ya nne katika UBUNGE.
naomba hii muiNOTE kisha mniulize baada ya uchaguzi.
Watu hawana inami naye ni ndumilakuwili tu.
Acha uzushi, dalili ya mvua ni Mawingu; chini ya Mwenyekiti Lwakatare CHADEMA imeshinda mitaa na vijiji kuliko chama chochote cha upinzani majimbo yote ya mkoa wa Kagera ikiwemo jimbo lake la Bukoba Mjini
Asha
nadhani atakua amefanya jambo la busara sana, huyu ni msomi mzuri sana wa alama za nyakati, CHADEMA ndio chama pekee cha upinzani tanzania kilichaobaki na cha kweli, CUF si ndio hivyo tena ni tawi la ccm tuu, kwishney!!Ni mweyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kagera. Amejichimiba huko Kagera, anajenga chama kwa kwenda mbele, subiri 2010 utaona matunda ya kazi yake.
Lwakatare kafanya kosa kubwa sana kuhama CUF na kukimbilia CHADEMA bila kufanya tathmini ya kutosha.CUF walikuwa wakimtumia Lwakatare kuondoa dhana ya udini na Upemba ndani ya chama ndiyo maana tulikuwa tukimsika Lwakatare kila CUF walipokuwa wakifanya siasa zao huku bara.
CHADEMA ni chama kilichojikita zaidi kanda ya kaskazini hasa mkoa wa kilimanjaro.CHADEMA nao wanamatatizo kibao lakini siyo tatizo la udini kama ilivyo kwa CUF hivyo hawawezi kumtumia Lwakatare kama walivyokuwa wakifanya CUF.Bado tutaendelea kumsahau tena asipokuwa makini anaweza hata udiwani asiupate.
huyu nae anaelekea macweo kama ya lyatonga - mzee wa inci hii
Aaaaah kumbe ndio tumetoka huku eeeeh! sasa naipata pata picha nzima.BRBR unakosea!Huyu jamaa aliahidiwa unaibu katibu mkuu CHADEMA kwani walitaka kumtosa bwana Zitto ili apewe yeye,lakini Zitto alipogundua hilo ndipo akaanza harakati za kuwania uenyekiti.Wazee wa CHADEMA walipoketi na Zitto kumshawishi aachane na kugombea uenyekiti yeye akawajibu mbona swala la kuenguliwa unaibu katibu mkuu na kubandikwa Lwakatare hamlizungumzii!?Hapo mzee Bob Makani akatoa amri kuwa Lwakatare awe mwamasishaji chama Kagera na Zitto aendelee na nafasi yake ya unaibu katibu mkuu.Yaliyotokea wote mmeyaona au kuyasikia sitaki kuyarudia tena,ila kwa taarifa ya jana tuu bwana Lwakatare amekutana na captain Chiligati ktk ukumbi wa Blue Pearl Hotel pale Ubungo plaza kwa mazungumzo yaliyochukua takribani masaa 2,sasa kilichozungumziwa huko ni siri yao ila tutege masikio yetu kwani hawa sisieeemu siwaaamini sana,maana Akwilombe,Tambwe,Atiki,Ngawaiya,Lamwai,Mtemvu,mswanzigwanko...n.k wote walikuwa katika upinzani!