Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Chezea chozi la mtu mzima tena mwanaume?!yuko kijijini kwake kibaoni anaugulia kwa kutoaminika na boss wake waliofanya wote kazi kwa zaidi ya miaka 8
jk si aliekuwa anachagua,wale wazee wanne nao kuna vigezo walifuata.pengine waliona pinda itakua ngumu kumpiku dr slaa,kuna vigezo lazima walitumia,sio kila aliyekatwa hana maadili.
pinda alikua mzuri sana,lakini je angeweza kuyapangua makelele ya silaa ambayo watu wenye upeo mfupi huyaona ni point?.
kitendo cha mbowe kumkata dr slaa na kumnyakua lowasa ambae alikua ameandaa chama chake cha ACT kama plan B, Kilitokana na ccm kumteua magufuli awe mgombea na ikaonekana itakua ngumu kwa slaa kumshinda magufuli,ndo wakaona wajilipue na lowasa.
kwahiyo sikweli kuwa kila alieachwa hakua a maadili