The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Yupo zake kwenye shughuli za kilimo na ufugaji wa nyuki ndyo kazi anayoipenda, uwaziri na siasa alivamia fani tu.
Miaka minane yote ya Uwaziri Mkuu alikuwa hajaijua vizuri Mamlaka ya Juu yake. Anajuta sana kutopiga mizigo mikubwa kama ya Escrow kwa kuwa aliogopa kuchafuka, kumbe Hakuwa chaguo. Wenzie akina Tibaijuka, Mtemi Chenge, Muhongo Mzigo wamekula na Kura za Maoni wameshinda
CCM ni watu wa ajabu sana achulia mbali Waziri mkuu, sikutegemea makamo wa Raisi kukosa sifa za kuwa Raisi wa nchi, ni tofauti na mataifa mengine ambapo cheo cha umakamo wa Raisi huwa hupewa mtu ambaye baadae huja kuwa raisi kamili wa nchi.
Huyu alifaa kuwa waziri wa Mashambani "kilimo kwanza"
Habari wakuu,
Tangu uteuzi wa watia nia wa urais kupitia CCM umalizike na yeye kukatwa, hajaonekana tena wala kusikika. Hata TBC wakimuonesha kwenye mashamba ya zabibu hakuna. Je, yuko wapi?
kwa kweli kaona mbali, siasa uwanja wa fujo, hajayazoea yale ya nape, mchemba na wassira, akoona ajiweke pembeni maana kamati ya maadili hataki kuiona tena kwa ilichokifanya.