Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,748
- 91,814
Waziri Bashe, mwaka 2025 Huu, vipi Vijana bado wako mafunzon?
Tupiamo na kapicha au video,au hakuna mitandao huko,maana ninavyowajua vijana wa CCM ingekuwa ndiyo Kiki yaovijana wanaendelea na kazi mashambani huu ndio muda kazi zinakua mara kumi ya msimu wa kiangazi ndugu hivyo kimya kingi kina mshindo
Juzi nimeona kwenye kideo akionyesha ngombe za matajiri kule karagwe eti ni za vijana wa bbtTupiamo na kapicha au video,au hakuna mitandao huko,maana ninavyowajua vijana wa CCM ingekuwa ndiyo Kiki yao
We bwege huna uhalali wa kumwita binadamu mwenzako tumbili kisa we hujapata hiyo fursaHii thread asije tu kuiona yule dalali wa rasilimali za taifa aka tumbili atakuja na andiko la page kumi kupongeza chura kiziwi alivyowezesha vijana wa kitanzania milioni kumi kujiajiri kupitia BBT ikiambatana na mapambio, nyimbo za kusifu na kuabudu kede wa kede.
Hao wapumbavu wao hushinda mitandaoni mara pap kushtukia wenzao ni matajiri, wao kila siku ooh CCM sijui imefanya nini, hakuna chama kitakuletea mkate wala kukutajirisha. Ndio maana tunayaita nyumbu.vijana wanaendelea na kazi mashambani huu ndio muda kazi zinakua mara kumi ya msimu wa kiangazi ndugu hivyo kimya kingi kina mshindo
Waziri Bashe, mwaka 2025 Huu, vipi Vijana bado wako mafunzon?
Leo nimesikia clip Moja akisema eti watawafu disha na nchi zingine waige BBT ndio nikagundua ndio maana dogo alikuwa na jeuri kumbe alikuwa na nataka za mama yaleHii thread asije tu kuiona yule dalali wa rasilimali za taifa aka tumbili atakuja na andiko la page kumi kupongeza chura kiziwi alivyowezesha vijana wa kitanzania milioni kumi kujiajiri kupitia BBT ikiambatana na mapambio, nyimbo za kusifu na kuabudu kede wa kede.