YUKO WAPI WARDA WALID?

The Professor

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
2,223
Reaction score
4,587
Habari za majukumu wakuu, natumaini wote mu wazima wa afya na mambo yanaendelea kusonga kwa neema za Mwenyezi Mungu.

Bila kupoteza muda naomba kuuliza ni wapi alipo huyu mrembo Warda Walid, ni msanii wa bongo movie, kawahi kucheza movie moja na Jb, Dr Cheni (jina limenitoka).

Ni muda sana hasikiki wala haonekani kwenye tasnia hii ya bongo movie, naombeni kujuzwa wapi alipo mrembo huyu aliyeumbwa akaumbika.

*Asanteni sana.








 
Huenda anafanya kazi nyingine ya maana hapa nchini au nje ya nchi..ndio maana kakaa kimya
 
Ok asanteni kwa michango yenu, nampenda sana huyu dada, I wish angekua anatoa movie walau tuendelee kuufaidi uzuri wake kwenye luninga.
 
Kaolewa huku Zenj.mumewe ni muwakilishi wa jimbo la....anaitwa.....
Wana mtoto mmoja. Yuko fresh jambo changamoto pia zipo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…