Yuko Wapi Tanzagiza wa (Fb)?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
915
Reaction score
754
Salute.

Kuna Mtanzania alikuwa anatumia account ya Tanzagiza (Fb) ni kipindi sasa hajawahi kutupia kitu chochote zaidi ile account vijana wa chama Fulani wanaitumia sana kupost vitu vyao.

Hofu yangu ni kuwa kwa sababu mwenye account ile alikuwa hajulikani kwa majina harisi anaweza kuwa alishadukuliwa na wasiojulikana na kisha kufanyiwa yasiyojulikana.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-20-20-24-29.png
    157.1 KB · Views: 76
[emoji206][emoji206][emoji206][emoji206][emoji206]
 
Nadhani ameswitch "Hibernation mode" kwa sasa.
 
BEN SAANANE...... MANGE KIMAMBI... KING GWAJIMA....

unganisha dot ndugu msomaji wa namba
 
Ndio tatizo la kutojulikana, kimempata kisichojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…