mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,992 Reaction score 132,360 Aug 26, 2020 #21 Yupo anakula maishaaa tu Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Damian J Ntundagi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2017 Posts 1,699 Reaction score 2,455 Aug 26, 2020 #22 The Boss said: Amesha 'wambwa' now anashukuru Click to expand... 😂😂😂😂😂😂😂
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Aug 26, 2020 #23 Victoire said: Yupo CoET anafundisha. Click to expand... Hawezi Kurudi CoET maana aliondoka akiwa Lecturer tu bora hata angekuwa Profesa wangempokea
Victoire said: Yupo CoET anafundisha. Click to expand... Hawezi Kurudi CoET maana aliondoka akiwa Lecturer tu bora hata angekuwa Profesa wangempokea
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,942 Aug 26, 2020 #24 Alibwaga Moyo The Boss said: Amesha 'wambwa' now anashukuru Click to expand...
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,029 Reaction score 126,474 Aug 26, 2020 #25 Rodrigo Moreno said: Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapiView attachment 1548385 Click to expand... Pesa 'alizochuma' Kipindi alichokuwa 'Madarakani' kwa Msaada mkubwa wa Ndugu yake aliyekuwa 'Rais' zinamtosha Kula hadi 'Kristo' atakapokuja.
Rodrigo Moreno said: Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapiView attachment 1548385 Click to expand... Pesa 'alizochuma' Kipindi alichokuwa 'Madarakani' kwa Msaada mkubwa wa Ndugu yake aliyekuwa 'Rais' zinamtosha Kula hadi 'Kristo' atakapokuja.
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,505 Reaction score 7,465 Aug 26, 2020 #26 joshua_ok said: Hawezi Kurudi CoET maana aliondoka akiwa Lecturer tu bora hata angekuwa Profesa wangempokea Click to expand... kawambwa aliondoka akiwa Senior lecturer UDSM pale kuna Ma"senior Lecturers" wanalazimishwa kuendelea kufundisha ingawa umri miaka 70+ huko Hilo sisimuliwi
joshua_ok said: Hawezi Kurudi CoET maana aliondoka akiwa Lecturer tu bora hata angekuwa Profesa wangempokea Click to expand... kawambwa aliondoka akiwa Senior lecturer UDSM pale kuna Ma"senior Lecturers" wanalazimishwa kuendelea kufundisha ingawa umri miaka 70+ huko Hilo sisimuliwi
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 993 Reaction score 1,351 Aug 26, 2020 Thread starter #27 loikabu said: Unamtakia nini? Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo. Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri? Click to expand... ni vyema kujua viongozi wetu waliotupelek hatua kadhaa kimaendeleo wapo wap na wanafanya nn
loikabu said: Unamtakia nini? Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo. Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri? Click to expand... ni vyema kujua viongozi wetu waliotupelek hatua kadhaa kimaendeleo wapo wap na wanafanya nn
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 993 Reaction score 1,351 Aug 26, 2020 Thread starter #28 loikabu said: Unamtakia nini? Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo. Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri? Click to expand... sio mbaya lakini nimejua kuwa ni mwenyeji wa Bagamoyo
loikabu said: Unamtakia nini? Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo. Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri? Click to expand... sio mbaya lakini nimejua kuwa ni mwenyeji wa Bagamoyo
Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,795 Aug 26, 2020 #29 Elungata said: Kilosa, analima vitunguu,, Click to expand... mkadage au?
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,751 Reaction score 3,691 Aug 26, 2020 #30 GENTAMYCINE said: Pesa 'alizochuma' Kipindi alichokuwa 'Madarakani' kwa Msaada mkubwa wa Ndugu yake aliyekuwa 'Rais' zinamtosha Kula hadi 'Kristo' atakapokuja. Click to expand... Huyu na wamama flani hivi walibebwaga sana, bahati mbaya mbeleko imekuwa kuukuu sasa.
GENTAMYCINE said: Pesa 'alizochuma' Kipindi alichokuwa 'Madarakani' kwa Msaada mkubwa wa Ndugu yake aliyekuwa 'Rais' zinamtosha Kula hadi 'Kristo' atakapokuja. Click to expand... Huyu na wamama flani hivi walibebwaga sana, bahati mbaya mbeleko imekuwa kuukuu sasa.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jun 18, 2021 #31 INTROVETED said: Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapiView attachment 1548385 Click to expand... Ok
INTROVETED said: Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapiView attachment 1548385 Click to expand... Ok