Wajumbe walikula kichwa kwenye kura za maoni. Halafu ni tamaa tu, yeye mwenyewe alishawaambia watu kua hatagombea tena kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Alisema angemuachia jamaa fulani hivi afisa elimu msingi wa moja wapo ya manispaa za Dar(japo na huyo naye hakupitishwa).
Jambo la kushangaza uchaguzi ulipowadia na Bwana Kawambwa katia nia. Aliamua kuyatupilia mbali makubaliano ya kiungwana ya mdomo kati yake na Bwana Buheti lakini mambo hayakumuendea vizuri