Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,987
alivyokuwa anawatusi kina lowasa kipindi cha kampeni 2015 mlimkemea?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Wewee jamaa hata kabla sijasoma urojo wako huwa lazima nisikie kichefuchefu si bure unayoyaandikaga hapa na akili zako ni sawasawa kabisasijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Nnahisi wanajitahidi wasije pewa case ya uchochezi na kufanya siasa wakati washakatazwa wameambiwa siasa mpaka 2020sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
mangez minionMange hawajahi amka asubuhi akaanza kutoa matusi hovyo hovyo. Mange sio kichaa anaongelea fact kabisa pale mnapompeleka kwenye ukichaa ndio anatoa matusi tena sio madogo wakati yeye anaongelea fact
jamani hivi kweli Mshana jr ni fundi ?JF inalindwa na mshana jr
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Magu acolytemangez minion
Kabisa...!!Muungwana akivuliwa nguo sharti achutame. Shekhe kajistili
Tangu lini mzushi akawa na akili ya kuelewa lolote??Wewee jamaa hata kabla sijasoma urojo wako huwa lazima nisikie kichefuchefu si bure unayoyaandikaga hapa na akili zako ni sawasawa kabisa