kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Ni mtaalamu mbobezi wa lugha na aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Bukombe kupitia tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Hivi alirudi tena kwenye kiti chake cha ubunge ama aliangushwa?
Mbona hasikiki kwa kusema chochote kinachohusumbua taifa au chama?? Mwenye kufahamu chochote kuhusu nguli huyu wa kiswahili Afrika Mashariki na kati atuambie..
Mbona hasikiki kwa kusema chochote kinachohusumbua taifa au chama?? Mwenye kufahamu chochote kuhusu nguli huyu wa kiswahili Afrika Mashariki na kati atuambie..