Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.