KIM KARDASH JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 5,139 Reaction score 1,149 Sep 8, 2012 Thread starter #21 Sware said: Nilimwacha mji mmoja unaitwa slough UK,ni kweli kaolewa na jimama flan hv ambae zamani alikua mke wa John Fashanu.Na hilo jimama jina lake linaanzia na S. Click to expand... S ndio nini si umtaje tu? Sio siri Hussein kweli kapotea,hata mshkaji wake masatu nae sijui yuko wapi hapa duniani au wako wote huko?maana wale walikua kama mapacha kwa kweli.
Sware said: Nilimwacha mji mmoja unaitwa slough UK,ni kweli kaolewa na jimama flan hv ambae zamani alikua mke wa John Fashanu.Na hilo jimama jina lake linaanzia na S. Click to expand... S ndio nini si umtaje tu? Sio siri Hussein kweli kapotea,hata mshkaji wake masatu nae sijui yuko wapi hapa duniani au wako wote huko?maana wale walikua kama mapacha kwa kweli.
M Mcgustine Member Joined Apr 9, 2012 Posts 28 Reaction score 4 Sep 8, 2012 #22 Masha yupo uk,na mkewe Shamimu aliyemuoa hapa bongo,MASATU yupo Indonesia na Mashallah wanafundisha vijana wadogo
Masha yupo uk,na mkewe Shamimu aliyemuoa hapa bongo,MASATU yupo Indonesia na Mashallah wanafundisha vijana wadogo