boya mchange aliuza ushindi mchana kweupehabibu mchange nguli wa siasa? huyu alitumwa akatumika ni mchumia tumbo. alianza kujihusisha na siasa mwaka 2008 hivi akiwa udom..baadae akaja kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kibaha. alishinda 2010. bwana koka akampa mpunga mwanana. akanunua fanicha na makorokoro kibao ya ndani kwenda kuanza maisha hko tabata. wenzake chadema wakimpigia hapokei .kumfuata alipo wakakuta uzunguni. lwakuwa kitila alikuwa cdm kwa kazi maalum akawa anamtumia kwenye baadhi ya kazi zake na alimplant ili awe anajua nyendo za zzk. matokeo yake baada ya uchaguzi kapewa jamvi la habar na kuanza kuwagawa watanzania kwa hoja za viroja.
Ndiyo, machachari wa gazeti la Tanzanite...Mchange naye ni Mwanasiasa machachari?????
Ndiyo, machachari wa gazeti la Tanzanite...
Jamvi la newsHuyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
Huyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
Duh! Pesa hizi... ila si mwandishi wa habari kwa sasa?boya mchange aliuza ushindi mchana kweupe
mzee makamba alitia timu mchana akaongea na kijana biashara ikaisha,vijana waliokuwa wanashinikiza atangazwe mshindi waliishia kupigwa mabomu
mchumia tumbo alitokea mlango wa nyuma na briefcase chini ya ulinzi mzito
stupid mchange,hii leo njaa iko pale pale heshima zero
Kila ktu kitapitaHuyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
kausomea wapi wakati hata udom aliacha akakimbilia upambe baada ya kuonjeshwa kibunda cha kuuza umpDuh! Pesa hizi... ila si mwandishi wa habari kwa sasa?
Nimenukuu wadau hapo juu waliposema kuna gazeti analifanyia kazi nikaona atakuwa mwandishi.kausomea wapi wakati hata udom aliacha akakimbilia upambe baada ya kuonjeshwa kibunda cha kuuza ump
Mkuu huyu alikuwa na kipeperushi chake kinaitwa jamvi la habari ndio alikuwa anahangaika nacho, ila nina muda kidogo sijaona akikirusha kwenye akaunti zake kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, nahisi wafadhili wake wamesitisha huduma hivyo hawezi kujiendesha tena, moreover huyu anayeulizia ndio yeye mwenyewe, hapa kaja kupima upepo kama bado kuna watu wana time nae.Kile kigazeti uchwara cha Musiba Tanzanite zile pumba zote ni kazi ya huyo Habib Mchange na hilo boya Musiba.
Hujidai kuwa wao ni CIA wa Tanzania waliwahi kumkuta mbunge wa chadema mh Heche anakula break point Wakamtishia Maisha huyo Mchange kawa mjinga sana anajiona kama utawala huu wa awamu ya 5 utakaa ikulu miaka 100 na mwenzake Musiba yy kaamua kuingia kwenye kikundi cha wasiojulikana na pia kikundi cha propaganda cha CCM, kwa kifupi hivvyo vijamaa viwili ni Sumu kwa upinzani vinatumika kuhujumu chadema kwa nguvu kubwa.Kile kigazeti uchwara cha Musiba Tanzanite zile pumba zote ni kazi ya huyo Habib Mchange na hilo boya Musiba.
Nimenukuu wadau hapo juu waliposema kuna gazeti analifanyia kazi nikaona atakuwa mwandishi.
Mkuu huyu alikuwa na kipeperushi chake kinaitwa jamvi la habari ndio alikuwa anahangaika nacho, ila nina muda kidogo sijaona akikirusha kwenye akaunti zake kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, nahisi wafadhili wake wamesitisha huduma hivyo hawezi kujiendesha tena, moreover huyu anayeulizia ndio yeye mwenyewe, hapa kaja kupima upepo kama bado kuna watu wana time nae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujidai kuwa wao ni CIA wa Tanzania waliwahi kumkuta mbunge wa chadema mh Heche anakula break point Wakamtishia Maisha huyo Mchange kawa mjinga sana anajiona kama utawala huu wa awamu ya 5 utakaa ikulu miaka 100 na mwenzake Musiba yy kaamua kuingia kwenye kikundi cha wasiojulikana na pia kikundi cha propaganda cha CCM, kwa kifupi hivvyo vijamaa viwili ni Sumu kwa upinzani vinatumika kuhujumu chadema kwa nguvu kubwa.