Yuko wapi mwanasiasa Kijana Steven Masele?

Yuko wapi mwanasiasa Kijana Steven Masele?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,558
Reaction score
57,857
Wakuu nimemkumbuka leo mwanasiasa kinaja na waziri wa serikali ya awamu ya 4 Steven masele kapotelea wapi sijawai msikia akisema chochote toka uchaguzi wa mwaka 2015 upite je nini kimempata?

Au na yeye ni moja wapo ya watu wanaoisoma namba...

Kimya chake kinanishangaza b"se kipindi akiwa waziri alikuwa waziri machachali sana nini tatizo wenye kujua watujuze alipo ..

Anaungaje mkono juhudi kimya kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae ni mmbeya tu! kwani ni lazima ujue kila mtu anafanya nini? utakuwa na kazi ya kufuatilia kila kiongozi kama hasikiki anafanya nini? sisi mbona tunamsikia kila mara akiunguruma huko bunge la Afrika au basi kama hujamsikia wewe basi ndo hasikiki? wacha mambo yako ingia google type Steven Masele utapata majibu, usituchoshe humu
 
Back
Top Bottom