Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,299
- 283,255
- Thread starter
-
- #41
Mjomba yote hayo nayafahamu bali hayawezi kuficha ukweli kwamba Rage alifungwa kwa wizi wa vitu vya hovyo sana pale FATKwanza ingefaa uchunguze uyasemayo. Rage baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Raisi Mkapa, alifungua kesi ya kulisafisha jina lake na kuonyesha mahakama kuwa alifungwa bila ya hatia.
Mahakama ya rufaa haikumkuta na kosa lolote lile na kulisafisha lake.
Pili huyu ni msomali na hawa ndugu zetu hawakurupuki ni watu wenye msimamo na wanapenda kuheshimu na kuheshimiwa. Rage kashindwa ubunge na amekubali kushindwa, haoni sababu ya kufanya siasa zisizo na tija akijua kuna mbunge na kipenzi cha wana Tabora.
Ukitaka kuwajua wasomali mashuhuri Tanzania na wakivyokuwa na heshima:
1.Kinana
2.Rage
3. Bashed
4. Marehemu Dirie aliyeku waziri na alitokea Zanzibar.
5. Mohamed Msomali mchezaji mpira.
6. Hassan Gobos- mpira
7. Bw Karie kiongozi wa FAT
8. Agostino Mrema.
9. OMARI MUHAJI
Ulichoandika juu ya Mr. Rage ni zaidi ya siasa. Ni chuki za kipumbavu sana juu ya mtu ambaye pengine hakujui na humjui pia. Ni kitu gani kikubwa alikufanyia mpaka uanze kubwabwaja juu ya uccm na ubunge wake wa zama hizo. Acha upuuzi wa kufikiri unaweza kuanzisha chochote kwa yeyote na ukafikiri unaweza kupata credibility kwa kufanya upuuzi.CCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
Yupo mbona Mara ya mwisho nilomuona posta mwezi January akiwa kwenye Range Rover akiendesha mwenyewe
Hiyo #8,hahahaaa asante mkuu.Kwanza ingefaa uchunguze uyasemayo. Rage baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Raisi Mkapa, alifungua kesi ya kulisafisha jina lake na kuonyesha mahakama kuwa alifungwa bila ya hatia.
Mahakama ya rufaa haikumkuta na kosa lolote lile na kulisafisha lake.
Pili huyu ni msomali na hawa ndugu zetu hawakurupuki ni watu wenye msimamo na wanapenda kuheshimu na kuheshimiwa. Rage kashindwa ubunge na amekubali kushindwa, haoni sababu ya kufanya siasa zisizo na tija akijua kuna mbunge na kipenzi cha wana Tabora.
Ukitaka kuwajua wasomali mashuhuri Tanzania na wakivyokuwa na heshima:
1.Kinana
2.Rage
3. Bashed
4. Marehemu Dirie aliyeku waziri na alitokea Zanzibar.
5. Mohamed Msomali mchezaji mpira.
6. Hassan Gobos- mpira
7. Bw Karie kiongozi wa FAT
8. Agostino Mrema.
9. OMARI MUHAJI
Yah asante sana ilikuwa Hammer na ilikuwa maeneo hayohayo karibu na office zile za fastjetHummer Ndogo Mkuu anaishi Pale Posta karibu na Wizara ya Nishati
Pole sana mkuu , unajua tunapoandika humu tunatambua kwamba hawa tunaowaandika wana wategemezi wao , wana watoto nk , ila sasa hatuangalii hayo , tunachoangalia ni ukweli wa jambo .Ulichoandika juu ya Mr. Rage ni zaidi ya siasa. Ni chuki za kipumbavu sana juu ya mtu ambaye pengine hakujui na humjui pia. Ni kitu gani kikubwa alikufanyia mpaka uanze kubwabwaja juu ya uccm na ubunge wake wa zama hizo. Acha upuuzi wa kufikiri unaweza kuanzisha chochote kwa yeyote na ukafikiri unaweza kupata credibility kwa kufanya upuuzi.
tuonane Taifa , hela za Okwi zilipatikana kweli ?Vitisho kibao
View attachment 690392
Mzee wa bunduki kiunoni[emoji16]Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .
Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .
Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.
Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
Atakuwa kaamua kufunga domo lake maana anawashuhudia kina malinzi na aveva wanavyo pambana na hali zaoHuyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .
Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .
Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.
Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
Sasa kama wanalijua hilo inakuwaje wanajifanya wao ndiyo miungu ya Tanzania?CCM huwa inatupa jongoo na mti wake
Labda kama ni mbunge wa mogadishuHivi ni bado Mbunge?
Mkataa nyumbani ni mtumwaLabda ameenda ziara ya kutembelea somalia nasikia kuna vivutio vingi vya utalii
Salaam zimfikie jamaa yetu HapieCCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
ile ilikuwa hatari sana !Mzee wa bunduki kiunoni[emoji16]
In God we trust
Mkuu mbona unamshambulia kwa nguvu?Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .
Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .
Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.
Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
ahaaa mie nadhani team lowassa nayo imerudi kwa mbwembweHahaha alikuwa team Lowasa what do you expect?!