Yuko wapi mwalimu wa vipindi vya dini maarufu kama Shing'weling

Mr Gratitude

Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
48
Reaction score
66
Nimesahau jina lake mtanisamehe kidogo ila kiufupi Huyu jamaa alikua anafundisha Vipindi vya dini (katoliki) katika shule mbalimbali za sekondari, alikua na uwezo mkubwa sana wa kufundisha na kucheza na saikolojia za wanafunzi, Hakuna swali ambalo halikua hawezi kujibu , kulikua kichwa Fulani kimesoma sana sayansi.
 
Nimesahau jina lake mtanisamehe kidogo ila kiufupi Huyu jamaa alikua anafundisha Vipindi vya dini (katoliki) katika shule mbalimbali za sekondari, alikua na uwezo mkubwa sana wa kufundisha na kucheza na saikolojia za wanafunzi,Hakuna swali ambalo halikua hawezi kujibu , kulikua kichwa Fulani kimesoma sana sayansi.
Vp una habari za Padri wa Moshi?
 
Nimesahau jina lake mtanisamehe kidogo ila kiufupi Huyu jamaa alikua anafundisha Vipindi vya dini (katoliki) katika shule mbalimbali za sekondari, alikua na uwezo mkubwa sana wa kufundisha na kucheza na saikolojia za wanafunzi, Hakuna swali ambalo halikua hawezi kujibu , kulikua kichwa Fulani kimesoma sana sayansi.
Huyo mwlm alifundisha nchi nzima?Mana umeandika kama sote tunamjuwa.
 
Kwa waliosoma shule za sekondari za serikali mkoa wa dar es salaam kama vile Benjamin mkapa ,dar seko na kibasila Miaka ya 2004 Hadi 2010 watakua wanamjua
 
Naaam...nmesoma darseco... tulikuwa tunahudhuria sana vipindi vyake mwl shing'we alikuwa anafundisha vyema.. mdogo wake tulisoma nae anaitwa laurian mwenge namba zake nnazo
 
Ndio mdau ukimaliza mwaka gani form 4
 
Back
Top Bottom