N nsabiadipunaga ngosha Member Feb 13, 2017 6 2 Mar 6, 2017 #1 Huyu nshomile alikuja na kitabu cha Mafisadi wa Elimu. Yuko wapi siku hizi. I miss him.
Tandam4 JF-Expert Member Jan 23, 2017 379 824 Mar 7, 2017 #3 Yupo kolomije anaandaa kitabu na list mpya
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,958 2,951 Mar 8, 2017 #4 Habari wakuu kwa yeyote anaefahamu alipo mwandishi wa vitabu MAFISADI WA ELIMU 1&2 Bwana KAINERUGABA MSEMAKWELI ni miaka sijamsikia ndugu huyu
Habari wakuu kwa yeyote anaefahamu alipo mwandishi wa vitabu MAFISADI WA ELIMU 1&2 Bwana KAINERUGABA MSEMAKWELI ni miaka sijamsikia ndugu huyu
J Joo Wane JF-Expert Member Mar 14, 2007 1,409 2,635 Feb 10, 2023 #5 Aliyepo karibu na huyu mwamba amjulishe kuwa tunasubiri toleo lingine maana wameongezeka mpaka wemeanza kuparurana huko.
Aliyepo karibu na huyu mwamba amjulishe kuwa tunasubiri toleo lingine maana wameongezeka mpaka wemeanza kuparurana huko.