Yuko wapi msanii Ray Kigosi?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,714
Wadau ni muda mrefu sasa Msanii wa Bongo Movie RAY Kigosi haonekani. Nimekuwa najiuliza je ameacha kuigiza?
 
Yupo bongo move nunua kazi zake utamshuudia live kunako runinga yako
 
Wasanii wengi wamepotea toka alipofariki Kanumba. Drama au Bongo Movies zinazo hit kwa sasa ingawa ni za kiwango cha chini sana ni za utekaji kama za kina Mudy na Roman ambapo mtekaji ndiye mtafutaji wa aliyemteka. Huwa zinaisha kihovyo sana. Ila kuna moja nimeipenda yaani mtu unatekwa halafu unapoachiwa wanakuachia na gari la kuanzia naisha
 
Bongo movie unaangalia?
Sisi wengine tunamjua Hrithik na Tiger Shroff kuliko Ray na wabongo movie wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…